Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,878
- 4,427
Mmmh hvi n kwel mnakosa wanawke wa kuoaI'm give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
hapana usikate tamaa, kitu kikubwa cha kuzingatia kabla hujaoa mwanamke ni hivi:I'm give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Usipaniki kijana.Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Wote unao waona ni wake za watu. Oa msaidiane majukumu.Nime give up kabisa nakuoa na nimekuja kuamini ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani kila nikitafuta mke wa kuoa nakosa naambulia hawa wanawake wasioeleweka kabisa
Ndoa siyo ya kila mtu aisee yaani nakaribia third floor halafu sioni dalili yoyote ile ya kupata mke kabisa aisee
Waoni mkuu naona midosho tuMmmh hvi n kwel mnakosa wanawke wa kuoa
Hapo tuWote unao waona ni wake za watu. Oa msaidiane majukumu.
Mnawapataje?Mi nilivyomuona yule mchungaji mfupi kang'oa chuma nimepata Imani sana mwaka ujao lazima nivute kitu
Kwa njia ya maombiMnawapataje?
Usiwe na hofu, hakuna wa peke yako. Hata ukipata mjane ujue naye ana michepuko ambayo haiwezi kumuoa mfano waume za watu.Ndiyo hofu yangu ipo w
Hapo tu