Habari wana jamvi! Katika pita pita humu ndani nimekutana na team mbili
#teammabazazi na
#teamwekapicha , kama zipo nyingine nifahamishwe plz!! nataka nishabikie/nijiunge na moja wapo kati ya hizo. Unanishauri nijiunge ipi? Na Je wewe ungependa ujiunge ipi? Noway 2 days to go! Tena furahiday nigh? patachimbika?sijui utamtoa nani OUT umuache nani?