Nisapotini wakuu wangu

Nisapotini wakuu wangu

Uko Vizuri Mkuu
Kama Ulivyofanya Kwenye Hizo Sandals. Tengeneza Mikanda Ya Saa, Tafuta Mikoba Ya Kina Mama Uinakshi Kwa Namna Mbalimbali, Cover Za Simu N.k.
Unganisha Sanaa Yako Na Vitu Ambavyo Vinatumika Sana Katika Jamii Kwa Kuviongezea Uzuri Katika Muonekano Wake.
Shukrani mkuu nafanyia kazi
 
Hivi Kuna watu bado wanavaa culture!!..

Kila la kheri.
bado kiduchu niropoke "haya yna chukua moja"

ghafla bin vuu nakuja kutana na hii comment yako..

imebidi niuchune tuliiiiii......

bwana mkubwa Quinton Canosa sapoti yangu unayo

Daily ntakuweka mbele za Allah akufanyie wepesi shekhee
 
Mimi nataka maombi tu..
 
Pambana arifu hiyo ndio asili ya Mwafrika kuna viumbe hapo juu nashangaa wanasema sijui kuvaa hizo mambo ni uhuni

Hivi nini maana ya uhuni? Maajabu muambie huyo aende Brussels akanunue hata half a carat ya blood diamond kama anaweza, sana sana watavaa uchafu wa english coated Gold halafu wanajiona wameyapatia maisha

Watanzania tuna midomo sana

Dada zetu wa SA endeleeni kudumisha mila.
IMG_20191104_175934.jpeg
 
Pambana arifu hiyo ndio asili ya Mwafrika kuna viumbe hapo juu nashangaa wanasema sijui kuvaa hizo mambo ni uhuni

Hivi nini maana ya uhuni? Maajabu muambie huyo aende Brussels akanunue hata half a carat ya blood diamond kama anaweza, sana sana watavaa uchafu wa english coated Gold halafu wanajiona wameyapatia maisha

Watanzania tuna midomo sana

Dada zetu wa SA endeleeni kudumisha mila. View attachment 1253981
Mkuu bado no wageni kwenye sanaa ndio maana sijawashangaa
 
Mmiu Kama upo maeneno ya dar , Arusha , Moshi au zanzibar utapiga hela kwa watalii .. Jitahidi usogee hayo maeneo nimetaja .. waswahili hawapendi vitu vyao...

Kuna watu nawafaham wana familia kwa hizi kazi akiwemo mjomba wangu
 
Mkuu umeongea fact sana mm nipo arusha

Kuna watu nawafaham wana familia kwa hizi kazi akiwemo mjomba wangu
 
Ushauri nakupa ndugu yangu.

Unapoleta tangazo kama hili baada ya kuweka bidhaa zako kwanza weka namba ya simu, pili weka bei tatu weka sample zote kama inawezekanazikiwa na bei zake.

Hii ni biashara unafanya makosa madogo yatakutoa nje ya reli.

Nimeomba unitajie bei ya jumla ni shi ngapi na jumla unauza kuanzia ngapi umekausha! Usiruhusu tangazo limuachie mteja maswali mengi!

Be creative and smart!

Haya nakuuliza tena, jumla ni shilingi ngapi na unauza kuanzia ngapi? je una bidhaa nyingine?
 
hongera mkuu kazi nzuri ila mawasiliano nayo ni muhimu
 
Ushauri nakupa ndugu yangu.

Unapoleta tangazo kama hili baada ya kuweka bidhaa zako kwanza weka namba ya simu, pili weka bei tatu weka sample zote kama inawezekanazikiwa na bei zake.

Hii ni biashara unafanya makosa madogo yatakutoa nje ya reli.

Nimeomba unitajie bei ya jumla ni shi ngapi na jumla unauza kuanzia ngapi umekausha! Usiruhusu tangazo limuachie mteja maswali mengi!

Be creative and smart!

Haya nakuuliza tena, jumla ni shilingi ngapi na unauza kuanzia ngapi? je una bidhaa nyingine?
Sawa mkuu nimekuelewa niambie unataka kitu gani hapo nikuambie Bei yake maana Bei inatofautiana na kitu unachotaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom