Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,258
Asante mkuu kwa kunipa moyoUbunifu mzuri
ila ww dada unaonekana mzuri sana,Hivi Kuna watu bado wanavaa culture!!..
Kila la kheri.
Eehh!!..ila ww dada unaonekana mzuri sana,
Sure...mm pia huwa nawachukulia wahuni...wangu ananunuaga huko bar akivaa tu naivua natupa...yaan mm uvae hivyo hapana aiseeHongera kwa ubunifu na kazi nzuri,ingawa wavaaji wa hivyo vitu kwa maeneo niliyotembelea mimi hawapo kwa wingi,na wengi Kama mwanaume anavaa hivyo vitu (ukiacha jamii za kifugaji),jamii humchukulia Kama anamapungufu flani, ima ni mvuta bangi au mhuni mhuni.Ungekuwa unaweza pata nafasi kenya,huko ndo vimetamalaki maana hadi raisi wao anavaa pasina wasi wasi.
Hivi Kuna watu bado wanavaa culture!!..
Kila la kheri.
MhhSure...mm pia huwa nawachukulia wahuni...wangu ananunuaga huko bar akivaa tu naivua natupa...yaan mm uvae hivyo hapana aisee
Kazi nyingine hii mkuuUko Vizuri Mkuu
Kama Ulivyofanya Kwenye Hizo Sandals. Tengeneza Mikanda Ya Saa, Tafuta Mikoba Ya Kina Mama Uinakshi Kwa Namna Mbalimbali, Cover Za Simu N.k.
Unganisha Sanaa Yako Na Vitu Ambavyo Vinatumika Sana Katika Jamii Kwa Kuviongezea Uzuri Katika Muonekano Wake.
12000 mkuuSadal bei ganni jumla