Nisamehewe kwa kusapoti kufukuzwa kwa vijana JKT

Kaka kuonewa isiwe kivuli cha kujifichia, hao vijana wamefanya kosa na wao walienda jeshi kwa malengo ya pesa na sio kulitumikia taifa...pata picha vijana 800 wametoroka na silaha kwenye kambi x wapo kitaa unadhani huo mtiti wake n wa kitoto.....

Jeshi hawakosei.....
Kuna kijana mmoja wa yule babu wa vimemez alipiga hapo tiemuei akafuzu kurudi kwao baada ya muda akaasi basi wakaomba watumiwe mkoba wake kutoka alipopigia, wazee tiemuei walimuandikia hivi, ANASIFA YA WASI WASI NA MIGOMO ......

Hivyo hao vijana bora wamejionyesha mapema sanaaaa
 
Kuna kanuni ya jeshi kwamba hakuna idadi ambayo inaweza kugoma ikawashinda wanajeshi. Nashangaa hao waliwezaje kugoma na kuandamana.
 
Sio 2015 ni 2012 sisi waliorudi sii kwamba walikosa hapana ni kuwa C.O wa ile kambi kuna op mpya ilikuwa imeshaanza kuingia wakati huo vijana wakaitajika wakafanye usahili wa jw mafinga tena bila kuchagua elimu huwezi amini c.o alipeleka vijana wapya kama 100 hivi ambao hata intro ilikuwa bado kabisa ikabidi wale wakongwe wabaniwe hadi mkataba ukafika ndio hivyo tena wakarudi uraiani.
Mbona huwa mnapenda kuongea vitu msivyokuwa na uhakika navyo?

Unaweza kunitajia majina ya hizo OP?
(Iliyotakiwa kufanya usahili na hiyo mpya)

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Mwanajeshi kugoma ni Uhaini, ni ishara ya ukosefu wa Utii, Jeshi sio NGO mkuu, bora umzabe kofi Afande jeshini sio kugoma, adhabu ya Uhaini ni kunyongwa hivyo kutimuliwa ni huruma tu hao walipaswa kufungwa maisha ama kunyongwa, Mwanajeshi unagomaje? Hivi kama leo unagoma kesho si utapanga mapinduzi? Aisee acheni ujuaji kwenye haya mambo, Mwanajeshi ukishindwa kutii kiapo chako ni Aibu
 
Kila nikiwatafakari, wazo linanijia kuwa kuna watu wamewachochea kugoma!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
 
Hapo mwanzo niliona kuwa uongozi wa JKT umefanya jambo la busara ila badae nimekaa nikafikiria nikaona nimekosea.

Naombeni mnisamehe....hawa vijana wanaditahili kusamehewa.

Haiwezekani wapambane miaka mpaka 4 halafu linapokuja suala la ajira...wanapachikwa watoto wa vigogo jeshini. This is unfair, this is not right...

Nimeumia sana baada ya kusimuliwa na kijana mmoja aliyeshiriki kuandamana.

Yaani mtu ajapiga kozi hajalala nje, hajashiriki ujenzi wowote anafikia ajira. This is unfair....

Mama Samia tunakipima katika hili....hawa vijana wasamehewe na waajiriwe haraka!
Hao cijanaa wakashike jwmbe tu wakalime kwan lzm wawe wa jeshi ? Najua mtachukia.comment yangu lkn hapa kila mtu ninmhanga wa mfumo sasa niwakumbushe kuchanika kwa jqmvi sio mwisho wa maongezi ..........rudin mtaan tayar mna skils embu mjianiri sasa
 
Vyovyote mtakavyosema kama ni kweli walikuwa na hoja au madai yoyote staili waliyotumia haikubaliki lolote, Mwanajeshi kugoma ni uhaini na ni hatari sana, jeshini utii kwa viongozi ni kitu kikubwa namba moja kuliko chochote.

Ni kweli mkuu wangekuwa na subira tuu wao wamekurupuka
 
Kama wameweza kujiorganize kwa idadi kubwa kiasi kile kugoma wakiwa hawana silaha, vipi wangekuwa na silaha

Bora umeliona hilo mkuu tena hapo wamejiorganize wakiwa chini ya uangaliz je wangekuwa kwenye uhuru wa ajira
 
Mwanajeshi kugoma ni Uhaini, ni ishara ya ukosefu wa Utii, Jeshi sio NGO mkuu, bora umzabe kofi Afande jeshini sio kugoma, adhabu ya Uhaini ni kunyongwa hivyo kutimuliwa ni huruma tu hao walipaswa kufungwa maisha ama kunyongwa, Mwanajeshi unagomaje? Hivi kama leo unagoma kesho si utapanga mapinduzi? Aisee acheni ujuaji kwenye haya mambo, Mwanajeshi ukishindwa kutii kiapo chako ni Aibu

Sema wewe mkuu kuna watu wana bwabwaja kama hawana meno wanarahisisha mambo hawafikiri kiupana watu mia 8 leo wako na smg afu wakagoma wanafkir itakuaje? Hivyo vikundi vya uasi nnchi za jiran unafkir ilikuwaje ? Tujarib kufikir mambo kiupna tusiwe waviv wa kufikir achen kuleta siasa kwnye mambo ya msingi
 
Hii nnchi kwakuwa tumelewa na Amani basi tunaona askr kugoma ni sawa tuu hii ni akili ndgo lkn kwa mtu mwenye upeo mkbwa wa kufkir hili jambo n hatr sana, tuache ushabiki wa kijinga gani
 
MAAMUZI MAGUMU

Naomba viongozi wetu wa jeshi na serikali wafanye maamuzi Magumu, tuwasaidie vijana hawa. Nikweli wamekosea.

Naomba vijana hawa wafikiriwe na kusamehewa. Hili lifanywe Kama kumbukumbu ya kuheshimu maamuzi ya marehemu rais wetu mpendwa aliyeahidi kuwapa ajira.

Macho ya kiroho yameona mbali.

Tunawaomba viongozi wetu, najua ni maamuzi magumu .....lakini tuone namna ya kuwasaidia.

Ukosefu wa ajira ni bomu linalotafuta upenyo wa kulipukia.

Ukosefu wa ajira changamoto kwa nchi nyingi za Africa na dunia.

Kama Taifa tunapaswa kuja na mkakati wa kutatua hili.

Hapo uliposema wanapachikwa watoto na ndugu wa vigogo nimekuelewa sana.
 
Walikosea sana, Jeshini ukishaonekana wewe ni muhasi lazima ushughulikiwe na hakuna msamaha, bahati yao hawakuwa wameajiriwa Jeshini. wamepata walichokitafuta. Msamiati wa Demokrasia kwa Majeshi haupo.
 
Hapo mwanzo niliona kuwa uongozi wa JKT umefanya jambo la busara ila badae nimekaa nikafikiria nikaona nimekosea.

Naombeni mnisamehe....hawa vijana wanaditahili kusamehewa.

Haiwezekani wapambane miaka mpaka 4 halafu linapokuja suala la ajira...wanapachikwa watoto wa vigogo jeshini. This is unfair, this is not right...

Nimeumia sana baada ya kusimuliwa na kijana mmoja aliyeshiriki kuandamana.

Yaani mtu ajapiga kozi hajalala nje, hajashiriki ujenzi wowote anafikia ajira. This is unfair....

Mama Samia tunakipima katika hili....hawa vijana wasamehewe na waajiriwe haraka!
Kwani ukienda JKT lazima upate ajira jeshini? Ndo lengo la JKT?
 
Hapo mwanzo niliona kuwa uongozi wa JKT umefanya jambo la busara ila badae nimekaa nikafikiria nikaona nimekosea.

Naombeni mnisamehe....hawa vijana wanaditahili kusamehewa.

Haiwezekani wapambane miaka mpaka 4 halafu linapokuja suala la ajira...wanapachikwa watoto wa vigogo jeshini. This is unfair, this is not right...

Nimeumia sana baada ya kusimuliwa na kijana mmoja aliyeshiriki kuandamana.

Yaani mtu ajapiga kozi hajalala nje, hajashiriki ujenzi wowote anafikia ajira. This is unfair....

Mama Samia tunakipima katika hili....hawa vijana wasamehewe na waajiriwe haraka!
Sio kila kitu lazima muongee na kutoa maoni.

Vitu vingine unaacha vipite tu unasoma baas.

"Kunyamaza ni salama zaidi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom