Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,345
Waungwana hamjambo? Mie nipo humu muda mrefu(nikiwa nimeshasajiliwa), ila nilitumia utaratibu wa futari, kwamba ukikuta wenzio wanafuturu, nawe keti ufuturu, sikupiga hodi humu. Kama ni kosa naomba mnisamehe wanajamvi, ila kama si kosa, na burudani iendelee!