Lamborghini
Senior Member
- May 30, 2014
- 122
- 55
Wakuu nina wakati mgumu sana katika mahusiano baina yangu na bibie Rapunzel ,
LINI MAHUSIANO YETU YALIPOANZA:?
Yapata mwaka na nusu tangu tufahamiane mimi na yeye kupitia hapa JF ....... Tulikutana alipotoa Mada yake inayohusu watoto yatima alikuwa anafungua charity pamoja na babyday care yake inayowahusu watoto yatima, Nika mp nijue jinsi gani ya kupeleka nilichonacho japo lengo langu kubwa ilikuwa nikutane nae .
Siku ya event nikakutane na kumkabidhi nilichokileta bahati Mzuri nilikuwa mwana JF peek yangu na tangu siku hiyo alinivutia kwa Kweli na sikutegemea Kama angekuwa she's hot kiasi kile
Baada ya miezi Kama mitatu niliweza Kutumia so chini ya 10M kwa watoto yatima na mapenzi yangu Kwake.
Baada ya hap nikatupa ombi langu Kwake japo alinizingua but baadae alikubali japo kwa asilimia kubwa mimi ndiye niliyabeba mahusiano yetu kutokana yeye kuwa ni mtu wa kusafiri kila wakati ilinilazimu kumfuata nchi yeyeto anayokwenda sababu uwezo huo ninao.
UGOMVI WETU SASA
Tukiwa na mahusiano yaliodumu mwaka na nusu sasa... na tukaja kuwa chui na paka kiasi cha Rapunzel kunichukia hataki hata mawasiliano na mimi na kutopokea simu yangu wala kujibu voicemail yangu kisa ni hiki:-
Kuna nchi mwaka huu yupo kwa ajili ya organisation yake alipata wazo la kusoma chuo Huko Huku akiendelea na kazi zake nilimpa go ahead na nusu Ada nilimuongezea kipindi hicho malalamiko ya kunimiss yalizidi na kwamba niende ....nami baada ya kuweka biashara zangu sawa nikampa taarifa ya kupata visa na booking ya ndege kwamba nitakuwa Huko siku Fulani na alionyesha kufurahi na angekuwa airport kunipokea Kama kawaida yetu.
Siku ilipofika natua airport sikuti mtu napiga simu yake haipatikani na ilikuwa saa 12 jioni ikanibidi nichukue tax niende hotel iliyokaribu na chuo anachosomea sababu address nilikuwa nayo.
Huku nikiendelea kupiga simu yake bila kupatikana mpaka ilipofika saa mbili usiku ndio akanipigia na kuniambia sorry nilikuwa kwenye group ya darasa tuna review paper ila nitakuja Kesho mchana sababu niko kwenye exams ' Ndivyo nilivyojibiwa.
Na ilipofika mchana ni Kweli alikuja akiwa mwenye haraka kuwa bado kuna paper baada ya nusu saa ifanyike hivyo atakuja baadae nikamruhusu aende but mpka inafika saa mbili simu haipatikani na sioni mtu kuja kutokana nimekuwa bored nikaenda bar ambayo ilikuwa hapo hapo hotelini .... nikiwa nimekaa hapo bar wakaja mabinti wawili kuzungumza na mimi ikizingatia mtu mweusi nilikuwa peke yangu wakati tuna piga story akatokea Rapunzel baada ya kiss and hug wale wadada sijuhi walizungumza kitu gani kwa lugha ya Kwo mimi sielewi ila yeye anaijua ghafla Rapunzel akamtandika kofi la USO mdada mmoja kisa anasema wamemtukana hapo ugomvi ulikuwa mkubwa walinzi wa hotel walikuja na kumtoa Rapunzel nje kisha kuchukuliwa na polisi
alipelekwa polis na nilijaribu uwezo wangu wote kumtoa mwenye hotel Alitaka alipwe gharama za uharibifu uliofanyika ikanibidi nilipe ili atoke na wakamtoa alfajiri sasa alivyotoka ananishushia lawama kwamba nimemtia mkosi I sababu hajawahi kulala selo hata siku moja yote nimeyasababiaha mimi..
Jamani Wakuu hapo kosa langu nini?
Rapunzel mi bado nakupenda tena sana nisamehe mimi kwa yote yaliyotokea ,nia yangu unaijua na malengo yetu unayajua ,yaishe msweet wangu ili ahadi zetu zitimie ifikikapo 2015 tafadhari mpenzi wangu.
kuanzia hapo melanin unit na hataki hata lounges nami wamemtukana

Last edited by a moderator: