Nisamehe popote ulipo

na nikijifuta hunioni tena
Wewe wasema mama ,hivi hujawahi kuona mdada anapewa kipigo cha mbwa mwizi halafu kwa bwana wake anarudi tu ?

Ndio itakua tu kwa kuseviwa jina kwa alama usirudi ?

Ila inategemea pia level ya mind *** niliyo kufikisha ,kama ni mwanzoni unaweza usirudi ila kama tupo kwenye level za juu utarudi mwenyewe
 
Hahahahah

Ila kama kuna ukweli ndani yake
 
Mkuu kama uliwai kuitwa mwizi pole sana maana sipati picha ungekuwa ufahamiki ayo maeneo ungedanji kisa nyap**** very bad scene
Nouma Mkuu.

Kuishi na watu vizuri ni jambo na heri sana Mkuu.

Dada zetu hawa wakati mwingine wanatumia sijui pua kufanya mambo yao.
 
Hahahahah

Ila kama kuna ukweli ndani yake
bora hatumeona mkuu nimekaa nikawaza alivyokuwa anajiandaa kuileta huko akaisafisha vizuri toa na vile vimajani dah .. ha hah ahaha ila basi tena
 
mtani sana yani.. halafu yeye kunyimwa mzigo ni kwa sababu ya ujinga wake
Mhhh, miss chagga!!!!

Nyapu nyingi tu mtaani sema tu anisamehe bure maana alikuwa anawakataa watu wenye nia nzuri kwake na kuniletea nyapu niishughulikie.
 


!
!
Hasira zako kali kweli. Ungempa kipigo tu ila nauli ungempa tu mkuu. Anyway natumai Anna atakusikia japo keshakusamehe.
 
Tuheshimiane mi siyo mvulana ni mwanaume wa nguvu asiyekuwa na huruma kwa vimalaya uchwara na Malaya wenyewe.
Wewe Wacha kuwashusha hadhi wanaume, hawanaga tabia kama uliyoandika hapo juu.

Ndege wafananao huruka pamoja, unafata nini kwa hivyo vimalaya kama na wewe siye malaya mwenzao.
 
mkuu litakutokea utajuta
Unajua mtu hawezi kuku-save jina fulani bila sababu ya msingi.

Unapokuwa unaonyesha tabia fulani fulani hivi ndipo mwanzo wa kuitwa majina kama BALOTELI, JOHN CENA, MZINGUAJI. etc
 
Words.

Now siwezi fanya kitu mbaya kwa mwanamke mkuu.

I Treat Them Like an Angels Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…