Nisamehe popote ulipo

Nifah, usichukie mdada mzuri.

Kama ni ukatili aliunza yeye maana alishawahi kunipigia kelele za mwizi kisa nimemfuma na Jamaa sema kufahamiana na nilikuwa mtu poa kwa majirani zake pale nikasaidiwa.
Kwenda zako bwana,usilipe ubaya kwa ubaya.
Wewe una roho mbaya,ulimkomoa baada ya kunyimwa ulichokitaka na sio kwa sababu hii unayoileta sasa.
 
Dah.... embu kusanya mitusi yote ya nguoni na ya ndani na nje ya nchi ya kilugha chenu na ya kiswahi... na ujione nimekutukana hayo...

1. Papuchi si kila kitu, utu kwanza
2. Hasira hasara, kama yangemkuta yakumkuta huko njiani ungesakwa hadi upatikane....

Next time usimfanyie hivyo mtu... IMAJINIII DADA YAKEO AFANYIWE NA MTU HAYO HALAFU WEWE USIKIE UNGEFANYA NINI?

By the way, yote kwa yote, HONGERA KWA KUOMBA MSAHAMA... NA INAONYESHA UNAMFAHAMU HUYO MDADA KWAMBA YUPO HUMU.... mfuate inbox kayamalize huko na ulipe na faini.. ahahahaahahaa

HALFU UACHE NAME CALLING... MIKE SIJUI ANNA....
 
Well said.
 
Somo tu kwa wadada, kama Huna ka-hela kako baki tu nyumbani kwenu. Umealikwa dinner sijui ndo unasafiri kwenda kwa baby, please please beba kahela kako ka-akiba. Usije ukadhalilika mikoa ya watu bure ukaishia kuolewa usiku na mateja. Maana kuna wanaume na wa-kiume/ wavulana. Unawezaona mnapendana wee kumbe mwenzako anakuona tu "mpitaji" tu anakutegea tu akukomeshe.

Mtu akikukosea kama vipi mpotezee tu, kuna vitu unaweza fanya kama kulipiza, afu yakaharibu maisha ya mwenzako completely, utajisamehe kweli?
 
Kwa namna ulivyofanya huo uhayawani....
Hata kama huyo mwanamke ana roho ya namna gani hawezi akakusamehe
 
ww utamsavu vp.mtu vibya tena.mwenzi.wk. hilo.ni kosa kubwa.sana hr.ungesevu.jina.lake.usirudie tena halafu hukutambua kosa lk ni heri.basi ungempa naul never repet.again
 
HILI MBONA KAMA LILE TANGAZO LA CHAI JABA LILE!
 
Ushauri mzuri Heaven Sent,ndiyo maana nakupenda sana.

Tafuta comment ya MSHANA JR.

Nilichokiandika pale ndiyo utajua kati ya Mimi na ANNA nania alikuwa muuaji.
 
Inatakiwaa ukutane na kisonono moja grade one sababu unapenda miteremkooo
Huwa sipigi kavu Mkuu.

Rough rider, hot shot zitakuwa zimeisha Tanzania nzima jamani?
 
Ushauri mzuri Heaven Sent,ndiyo maana nakupenda sana.

Tafuta comment ya MSHANA JR.

Nilichokiandika pale ndiyo utajua kati ya Mimi na ANNA nania alikuwa muuaji.
Muuaji, mbona ulimrudia tena? Mtakufa kabla ya siku zenu kisa kuendekeza papuchi. Ulimshamsamehe ila kwa sababu aligoma kukupa mzigo ndo ukataka kumkomesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…