Watu wangu walioitwa kwa jina langu wakijinyenyekesha na kuiacha dhambi yao nitaiponya nchi yao...hii msg ina mafuta na ndo iliyoleta moto ndani ya kikao kile...upo utaji na utisho ktk sura ya huyu jamaa na hasa atakapoendelea kuutafuta uso wa BWANA...namkumbusha Mwigulu kila aliitiaye jina la Bwana na auache uovu wake... Tz ina hitaji la mtu atakayetoa sadaka na dhaka za Kweli ili Bwana airidhie Nchi..ccm inatembea ktk giza na vinyago sana, lkn unabii unasema yuko mtu anayekwenda kuviteketeza na kuvipiga vita vitakatifu..