Ni kweli mwigulu kaanza kubadilika aendelee hivyo hivyo.hao maescrow sio wa kukumbatia.kwa kweli Mwigulu amebadilika sana,kama ataendelea hivi sioni kwa nn tusimfikirie kumpa ofisi kuu 2020,sio mnafiki tena,anawafikiria maskini wa tanzania,mama wajane ,watoto wa wakulima,big up
Uzuri wa watanzania ni wepesi kubadilishwa mawazo. Maagizo yake mengi yalikuwa ya kisiasa hayatekelezeki. Mfanyabiashara kapewa pesa na msamaha wa kodi toka serikali wewe unasema akalipe. Pesa zenyewe zilipelekwa kwenye Akaunti ya kampuni isiyohusika na zimeshatokomezwa kusikojulikana!Hakika leo nathubutu kumuomba msamaha ndg Nchemba kwa mawazo yangu hasi juu yake. Nilimdharau na kumzihaki!! Nilimuona kama kada maslahi kumbe sikuwa sahihi!Leo nadiriki kujitokeza hadharani na kukwambia SAMAHANI.
Mchango wako wa leo bungeni ndio ulionibadilisha mtazamo wangu hasi juu yako.Kweli mwanzo hatukukujua vizuri.
Mimi sio mtabiri,lakini kwa uzalendo na msimamo wako usio na chembe ya uoga wa kuwatetea walala hoi wa nchi hii,hakika utafika mbali sana katika medani hii ya kisiasa.
Kila la heri mzalendo.
Kweli huyu Jamaa ni mtu makini sana!
Humjui vizuri mwigulu
Mwigulu amejitahidi sana japo simsifii asilimia mia
Taratibu mtakubali tu.
Kwa hiyo unajisifu mwenyewe kwa account yake nyingine eeh? Urais 2015? Tutaona viroja vingi
Mwigulu ni mzalendo.