Nisamehe kama nakufuru, nahitaji kufahamishwa

Moyo mgumu aliokuwa nao Farao hakupewa na Mungu, bali alikuwa anaongozwa na shetani ili aendelee kuwaweka utumwani wana wa Israel, KUTOKA
 
Moyo mgumu aliokuwa nao Farao hakupewa na Mungu, bali alikuwa anaongozwa na shetani ili aendelee kuwaweka utumwani wana wa Israel, KUTOKA
Sasa kama alipewa na shetani kwanini mungu auongezee ugumu ilhali kulikuwa na uwezekano wa farao kutubu na kumrudia mungu?. Huoni kwa kuuongezea ugumu moyo wa farao mungu anakuwa mbaya kama shetani? . or could it be that god was suffering from munchausen syndrome by proxy at that time?
 
Kwani Biblia kaandika nani?Hata historia ya wachaga,Wamasai na hata Wajalua ikiandikwa na wajaluo lazima itawapandisha wajaluo.Umenielewa?Hata mm nikikupa historia yangu itanipendelea mimi?
Vilivyoandikwa kwenye biblia si yanareflect ukweli kuhusu mungu au?
 
Sasa kama alipewa na shetani kwanini mungu auongezee ugumu ilhali kulikuwa na uwezekano wa farao kutubu na kumrudia mungu?. Huoni kwa kuuongezea ugumu moyo wa farao mungu anakuwa mbaya kama shetani? . or could it be that god was suffering from munchausen syndrome by proxy at that time?
Please I will not comment on your reply unless you correct your comment. we referring to God not god, kuna tofauti kama mungu na Mungu so is God and god, inawezekani tunajadili vitu viwili tofauti
 
Please I will not comment on your reply unless you correct your comment. we referring to God not god, kuna tofauti kama mungu na Mungu so is God and god, inawezekani tunajadili vitu viwili tofauti
Hahaha!!! is your creator a logomachist too? It seems to me that it takes quite a lot to make him happy , doesn't it?. I'm glad I grew out of such an exigent character.
 
Mimi ni Mkristo Mkatoliki na napenda sana dini yangu. Ila zaidi napenda sana kujifunza hasa pale ambapo panakua na ugumu ama mkanganyiko.
Narudia tena, nitaomba mnisamehe kama nakosea ila nina swali nahitaji kufahamishwa.

Tunaambiwa kwenye Biblia kwamba Mungu alimtuna Musa(Moses) akawakomboe wana wa Israel kutoka mikono ya Farao(Pharaoh) na akampa maelekezo namna ya kufanya ili Farao aweze kumuelewa. Lakini Mungu pia akaufanya moyo wa Farao kuwa mgumu asikubaliane na ujumbe wa Musa. Sasa swali langu ni kwamba, Je? Mungu alikua anatafuta sababu ya kumuangamiza Farao? Maana pengine asingefanya moyo wa Farao kua mgumu, pengine Farao angekubali tu kwamba sawa enendeni maana Mungu wenu amewataka muende nchi ya ahadi.

Tunaambiwa Mungu wetu anaruhusu Free Will yaani Ruksa ya kufanya maamuzi mwenyewe, je mbona aliingia maamuzi ya Farao? Mbona aliufanya moyo wa farao kuwa mgumu?
Freewill ya Mungu kwa mtu ndio ile iliyoamua destination ya kila mmoja. Hivyo basi kwa sababu Mungu huyatambua ya mwisho toka mwanzo aliwatambua wale wote watakaopoa neno lake kutoka kwa manabii. Waliopokea negative aliwaona na kuwajua kabla ya kufanya hivyo halikadhalika wale waliopokea positively.
Kwa hiyo Mungu kusema kwamba nimewafanya wengine kuwa na moyo mgumu ni maamuzi yaliyotokana na ile freewill waliyopewa wahusika.
NB:
Mungu yeye hajiongezei maarifa kama sisi.
 
Kwamba wewe ni smart kuliko Neno la Mungu?umeanza kuchanganyikiwa sasa kijana.
Mungu ana Neno unaweza kuthibitisha kuwa hayo Ni maneno ya Mungu !?

Maneno ya Mungu tangu lini tangu lini yakawa na contradiction , Basi Kama hayo ndiyo maneno ya Mungu Basi huyo Mungu atakuwa hajielewi
 
Neno la Mungu ni Mungu
Unajua hili?
 
Mungu ana Neno unaweza kuthibitisha kuwa hayo Ni maneno ya Mungu !?

Maneno ya Mungu tangu lini tangu lini yakawa na contradiction , Basi Kama hayo ndiyo maneno ya Mungu Basi huyo Mungu atakuwa hajielewi
Onyesha hiyo contradiction
 
Back
Top Bottom