Nisamehe Baba chanja wangu

Nisamehe Baba chanja wangu

Baba Chanja pls lipokee hili litakufaa maishani... Hakuna kitu chema kama mtu kuutambua umuhimu wako
Babe nisamehe.Sipendi nikukosee na sipendi kuona tunakuwa na migogoro kwakuwa nakupenda na siwezi kuvumilia maumivu ya kukukosa.

Natamani kuandika maneno mengi ila mwenzio huwa sio muongeaji sana, hata kwa haya machache Love naomba unielewe, You mean a World to me so please don't go.

We ni kiongozi kwangu ushaniteka I'll just follow your lead amini hivo ,
Najua utapita hapa...jua kwamba nakupenda sana kutoka ndani ya moyo wangu.


Sent using Jamii Forums mobile app

Jr
 
Back
Top Bottom