financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,139
- 43,362
Nadhani amekuelewa akizingua nipo nasubiri ateleze..niweke kambi mileleBabe nisamehe.Sipendi nikukosee na sipendi kuona tunakuwa na migogoro kwakuwa nakupenda na siwezi kuvumilia maumivu ya kukukosa.
Natamani kuandika maneno mengi ila mwenzio huwa sio muongeaji sana, hata kwa haya machache Love naomba unielewe, You mean a World to me so please don't go.
We ni kiongozi kwangu ushaniteka I'll just follow your lead amini hivo ,
Najua utapita hapa...jua kwamba nakupenda sana kutoka ndani ya moyo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app

Hizi nyuzi zinarud sasa sjui nafeli wap mm mbona sipat wa kuniandikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si unge mwandikia huo ujumbe hata kwenye whatsap status apa atajuaje kaa yeye ndo mlengwa maana una tumia jina Fake
Sent using Jamii Forums mobile app

kama kweli vile kumbe nyuma ya keyboard ni vitukoBabe nisamehe.Sipendi nikukosee na sipendi kuona tunakuwa na migogoro kwakuwa nakupenda na siwezi kuvumilia maumivu ya kukukosa.