Nisaidiwe kwenye hili

Nisaidiwe kwenye hili

kanewi

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
298
Reaction score
204
Mimi ni kijana mwenye umli wa miaka 32 nina tafuta kazi za clearing and forwarding kwa kazi zinazohusu na field hiyo,.nina cheti cha chuo cha kodi kinachotumika kwenye kusajilia makampuni hayo kinachotolewa na chuo cha kodi mikocheni,.certificate of customs clearing,pia nina degree ya business administration BBA toka TUMAINI UNIVERSITY DSM COLLEGE TOKA 2009-2012 na kupata GPA ya 3.5.,kwa yeyote alie tayari kunisaidia anipigie 0784762279.,
 
Back
Top Bottom