Nisaidieni

Nisaidieni

mtamusana

Member
Joined
Mar 17, 2015
Posts
75
Reaction score
10
Habari! Swali. Je upo uwezekano wa kuomba uhamisho kwenda mkoa mwengine hata kama hujapata barua ya Tscd ambayo nasikia unapewa baadacya mwaka mmoja??

Kama haupo je kama una matatizo ya kiafya na unataka kuwa karibu na nyumbani haiwezekani pia kukuhamisha??

Na kama inawezekana nitumie njia gani ii niweze kufanikiwa
 
Back
Top Bottom