mimi naona utulizane kwanza dear...kibiashara ndo kimekukubali hata hujafaidi..ujue wanaume bwana mama yao mmoja wanasema..huyo jamaa humjui kiivo ..hata huo uresponsible unaomsifia nikikuambia unifafanulie hapa sidhani kama uta jibu
maisha ni haya haya.. kwa jinsi ulivoeleza ina maana umepita mabonde na milima mwenyewe na mungu wako hadi ukapata pumziko la moyo au furaha uliyo nayo kwa sasa.furaha yako ni wewe mwenyewe....tulia kwanza
usimuamini mtu yoyote ....taratibu mamito
ndo maisha dear...ujue sisi wanawake tunajua kupenda kweli,,,,inaumiza sana unapompenda mmtu na kumvumilia katika shida na taabu ila yeye hathamini upendo wako...wewe kwa sasa hivi angalia kwanza maisha yako na mtoto wako.usitegemee kufurahishwa na mwanaume...kwani ulishajitoa kwa wangapi na hukuambulia chochote hadi ndoa umefunga na mume mwenyewe kakutenda ....kwa sasa focus kwenye vitu vingine wanaume weka pembeni kwanzaEeeh M/ mungu nizidi kukushukuru kwa ajili ya watu hawa ndan ya jukwaa hili kiukweli nawashukuru sana mawazo yenu nimeyapokea kwa moyo wa upendo na uchungu mkubwa kwan hata nilipoikumbuka safari ya maisha yangu nimejikuta nikibubujikwa na ma machoz kwan ni mateso makubwa tunayoyapitia baadhi ya sisi wanawake kwa baadhi ya wanaume kuikweli nilimpenda sana mume wangu nilimuheshimu na niliheshimu agano letu mbele za mungu but upendo wangu ilikua ndio fimbo ya kunichapia na kunivurugia muelekeo mzima wa maisha inauma sana ila nawashukuru. pia naungana na wazo la kumjua mtu ,ni kweli uwezi kumjua mtu kwa muda mfupi ila nilipomjua km ni mtu anayejua majukumu yake si mtu wa kupenda useme jambo mala mbili to be serious mm nimfanyakaz wa serikali na kwa sasa nimepata kazi nyingine kuuza matango that why mila na desturi kwan huku nilipo nawakilisha nchi yangu familia yangu na vitu vingi hivyo nisingepend kua mtu wa tofauti my be kufuatia hali hiyo ili mvutia na mpaka leo hii hajawa kama watu wengune wa kudemand mambo ya hajabu zaidi ya kunifariji kuongelea maisha ya kawaida pia sijuh km bado ananipima zaidi yote mungu anajua bila kuficha maisha hy nikwilisha yasahau kwamba kuna mtu anaweza akanibembeleza nikakaa nikabadilihana nae mawazo ya msingi na kunifuta machoz akili ilishaganda kwa stress so nimewaelewa nitayafania kazi kwasababu nilipotoka ni mbali so sina tb na hata nilipokua katika ndoa yangu kubwa nilirotaka ni upendo ,aman. na sio pesa kwa sababu haka kamshahara kangu kadogo kananipa uhuru wa kuingia duka nitakaro nk zaidi namshukuru mungu kwan hivi vyote ni mali yake.
Naomba nikandamize maneno aliyosema smile hapa:
...Tulia kwanza, usimuamini mtu yeyote...
Alafu naomba niongeze yangu ya 'kidunia kidogo'... (maana hii ni dunia anyway)...
...Hebu msome NJE NA NDANI (najua wewe kwa umri wako umenielewa), japo kwa miezi mitatu, alafu uone kama sio 'wale wale'... then utakuwa na maamuzi yenye mahufaa.
ukute ni bomu kuliko alietangulia ...anataka kuchota hela za bamia sijui....waaaaaaaaai
ujue mahusiano bwana sio kitu cha kukurupukia saana..unapoamua kuingia kwenye mahusiano it means unataka pumziko la moyo..sasa shida ujue mioyo ya watu huwezi kuisoma bwana ...wewe unataka pumziko mwenzako anataka tu kitu flani .money au papuchi hana time na moyo wako ....siku mbili tatu hayo mahusiano yanakuwa mzigo kuliko uliokuwa nao mwanzoni ...unaweza kuwa kichaa atiii! ndo maana napenda usingle sana...unaangalia maisha yako mwenyewe maisha yakikushinda unajaribu kitu kingine! kwanini kulaumu watu huku duniani kila siku..?yaani naombea isiwe hivyo maana ikiwa hivyo, conclusion itakayotoka itatulaani wanaume 'wote'...
ujue mahusiano bwana sio kitu cha kukurupukia saana..unapoamua kuingia kwenye mahusiano it means unataka pumziko la moyo..sasa shida ujue mioyo ya watu huwezi kuisoma bwana ...wewe unataka pumziko mwenzako anataka tu kitu flani .money au papuchi hana time na moyo wako ....siku mbili tatu hayo mahusiano yanakuwa mzigo kuliko uliokuwa nao mwanzoni ...unaweza kuwa kichaa atiii! ndo maana napenda usingle sana...unaangalia maisha yako mwenyewe maisha yakikushinda unajaribu kitu kingine! kwanini kulaumu watu huku duniani kila siku..?