Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu ya nyuma ya kiwiko je huu ni ugonjwa gani?
Nakushauri nenda hospitali mapema,hapo inawezekana kuna kuumia hata bila kujua na pia infection kwa ndani ndo maana unavimba.Pole sana Mavella.:disapointed:
Jamani leo ni siku ya tatu mkono wangu umejikunja haunyooki, ulianza na maumivu ya mbali siku ya pili nimeanka mkono una maumivu alafu umejikunja haunyooki na siku ya tatu umeanza kuvimba sehemu ya nyuma ya kiwiko je huu ni ugonjwa gani?
ukiangalia wote humu wanakushauri uende hospitali....hivyo fuata huo ushauri haraka sana kabla hali haijawa mbaya zaidi. pole sana ila naamini Mungu atakusaidia upone haraka.
wana jf leo mapema kabisa niliwahi hosp niliangalia BP ilikuwa 120/80
nikafanyiwa
ESR test
uric Acid test
ASL test na
RF test
vipimo vyote vilionyesha sina tatizo ila mkono bado haujanyoka na mguu wangu wa kulia huo huo nao umeanza kuniuma kwenye kifundo cha mguu je hamna mwana jf mwenye phd anisaidie?