Nisaidieni wandugu

Nisaidieni wandugu

Kiujumla mapenzi ya namna hiyo huwa ni magumu sana...kwa kuwa rekodi zinasema kuwa wadada wengi huwa wanabadiilika wakishafika chuo na husahau mahusiano yao ya nyuma mara moja..nina mifano mingi hai ya watu ambao mpaka leo wamebaki na makovu yao mioyoni mwao kutokana na madhira kama haya..na story zinafanana....Mimi nadhani jambo la msingi ni wewe kukaa na mpenzi wako muyajadili kwa kina na umuelezee wasi wasi wako....inawezekana mpenzi wako ana lengo zuri isipokuwa wewe ndio unashindwa kumuelewa kwa kuwa unaongozwa na pepo la wivu.....maisha ya sasa yanataka kusaidiana katika mambo mbali mbali hasa mkiwa kama mke na mume...lakini kama ikiwa wote mnajishughulisha kidogo inakuwa nafuu katika kujenga familia iliyokuwa bora kwa maana mtaweza kuwahudumia vizuri watoto wenu ambao ni zao la ndoa yenu.....ila kama ukiona hana mwelekeo na wewe inakupasa uchukue hatua mapema kwani muda ni mali..na pia yako mambo mengi yakukufanya uyafurahie maisha......
 
ngastukaaa na machale kun'ndesaa... hapo kuna mawili
1. kapata bwana mwingine huko chuoni manake wasichana wengi wakifika vyuoni hubadilika na si rahisi kugundua haswa kama anasoma mbali na hapo ulipo wewe anazuga miaka minne ili usahau tu asepe zake kimya kimya
2. ndio malengo aliyojiwekea katika maisha yake kuolewa baada ya kumaliza masomo na kutofanya mapenzi mpaka aolewe..
cha kufanya asee kaa standby kusepa taa ya njano imewaka tayari kinachofata ni kijani tu.. kaa tayari king...
 
King wa uzaramoni, ebu Nenda kaoe Tanga, achana na shankupe hilo la kizaramo! joke.

hahahaa mkuu kwa hiyo unabaniwa papuchi eti mpaka amalize chuo after 4 years? we nae una moyo kweli ndugu yangu. Wenzio wanamgegeda afu nawe umekubali kuwa 'beberu la kuchora' na kujifanya mchungaji eeh. Haya kaka, endelea kumchunga kondoo wako mpaka 4 years amalize chuo ndo uanze kumla. Masikini afu si ajabu anakuchuna hasa na unajituma kuhudumia to the fullest.

Mpo kwenye mahusiano for a YEAR now, bado hujalamba! afu anakupa another 4 YEARS amalize chuo afu ndo ulambe. Kama kweli anakupenda, so anategemea MIAKA yote hiyo wewe unagegeda wapi? Kaka situkaaa, huyo ni 'mjasilia-mali' tu anakulia vijisent vyako, mwisho wa siku anakuweka kwenye dust-bin. picha linaisha!

-Kaveli-

ukute kwa wengine wanapiga show km kawa hvyoo
 
ukute kwa wengine wanapiga show km kawa hvyoo

hahahaaa umeona eeh, jamaa anahudumia alafu wadau huko wanagonga ngozi kama kawa. jamaa kapewa papuchi-ban ya 5 years now. daah nae anao moyo aisee. cjuwi ndo kapenda sanaaa to the maximum.
 
hahahaaa umeona eeh, jamaa anahudumia alafu wadau huko wanagonga ngozi kama kawa. jamaa kapewa papuchi-ban ya 5 years now. daah nae anao moyo aisee. cjuwi ndo kapenda sanaaa to the maximum.

Kizamani hiyoo kichizi
nuache avumilie ale zilizooza
mie simooo
 
Kizamani hiyoo kichizi
nuache avumilie ale zilizooza
mie simooo

mpaka 4 years, tena chuoni, hahaha iyo papuchi itatumika sana ataikuta ishakuwa kama gruneti. anavumilia alafu mwisho wa siku analishwa nyama-ndezi.
 
Mimi nina msichana wangu tuna mahusiano ya zaidi ya mwaka mmoja, atujawahi shea kimapenzi na kuolewa hataki anasema hadi baada ya miaka minne ijayo atakuwa amemaliza Chuo je ni ana mapenzi ya kweli au ananiibia muda wangu.

Tafuta pa kwenda mkuu! Si lazima kufanya mapenzi kabla ya ndoa ila mwanamke anaekupenda kwa dhati anakuwa na papara na haraka ya kuolewa na wewe na pia anapenda uridhike ili macho yako yamuone yeye tu.
Sasa wewe ndoa hupati na tendo hupewi, kuna dalili huyo bado yuko njiani, kwako kajiegesha kwa vile anakuona ----- unaempenda kupita kiasi na unampiga tafu katika maswala yake lakini sio chaguo lake.
Believe it, mkiachana utashangaa ameolewa kabla ya hiyo miaka 4 kufika.
 
Back
Top Bottom