Nisaidieni wana mmu

Huwa nafsi yangu inasikitika sana ninaposikia kijana mwenzangu anaumia kwa ajili ya mapenzi. jamani its easy kwanini akupotezee muda wa kufikiria mambo yako kwa ajili ya maisha yako mwenyewe. njia rahisi>>>>>wasichana wako wengi hivyo piga chini tafuta mwingine>>>>>au mchunie mpaka atakapojirudi asipofanya hivyo iwe ndo moja kwa moja>>>>ningekushauri njia kama yangu ila nadhani huiwezi!... single boy by ali kiba ndo mpango mzima, siku hizi bana inatakiwa demu mkipata mnamalizana hapohapo kila mtu anajua zake mambo ya kupeana stress hakuna.
 
Daaah sijawah kufika hapo na sitofika kabisaaa hata we miss word.. Achana nae mwanza ni noma.. Pili hiyo pesa make make nunua kiwanja lasivyo mbeleni utajuta zaidi.
 
Achana nae hakufai huyo! hata mm mwanaume nikimchoka nakuwa kama huyo! tafuta mwingine atazidi kukupotezea muda!
 
imba huu wimbo:
nikimwambia BABY I LOVE YOU . . . . .WALA HALIJUI! Kweli nimezimika binti mwalimu!

imba hafu nakuja!

wakubwa zako tunafanyaga hv:
one two . . . . . . . kiupi kimelowa! mashabiki oreeeeeeeeeeee!

hatufiki three, ikifika three inakuwa a lose lose game dogo!

acha dhambi dogo!
 

Lady doctor,

Umetoa ushauri mzuri sana, lkn wasiswasi wangu ni kuwa uliyempa huo ushauri anaonekana hazimtoshi. With all vitimbi aliyoeleza kwenye thread yake bado anaomba ushauri badala ya kuamua kuachana na huyo binti msanii? Nachukia watu wenye akili nzito namna hii! Ni mzigo kwa jamii.
 
Pole kaka yangu ww utauziwa ngombe kwenye gunia huyo dem wako anammegwa na mtu mwengine,ww unawekwa spea tairi tu unatumiwa kama kitega uchumi!Asikudanganye mtu kama mtu unampenda hakuna kitakachokuweka busy ushindwe kuongea na mpenzi wako kwahio hapo mapenzi kwishnei!Fuata ushauri wa wadau wengine msurprise au mchunie!
 

nashukuru kwa ushauri wako naahidi kulifanyia kazi ndugu
 

hujagundua tu wewe ni wa mfukoni
mapenzi ya moyoni hakuna hapo,piga chini
 
mi nna principle yang moja japo ngumu ila huwez juta. Pale unapoona dem anaanza kukuumiza kichw bado hujaoa, piga chin faster hata kama mna wiki 1, au hata kama umefall vipi kwa sababu ukiendelea kuvumilia siku moja utashindwa kujinasua lengo la mapenzi ni kufurahi kama sio kimbia faster

NB: Hata siku moja bikira hajitambulishi, utajionea mwenyewe siku ya tukio
 

dah! yaani kijana umepoteza miaka 3 ya ujana wako bila kuchovya! ndio maana stress inakuzidi na kusababisha ubongo kutofikiri vyema ili kutatua hili jambo dogo. hebu kwanza tafuta binti wa kushughulika nae na utamsahau huyo wa mwanza anaekuzingua.
 
Hivi siku hizi na ma tv, ma jf, ma facebook, ma twitwer, na mazagazaga yote ya dunia ya kisasa kuna vijana mnakubali kutapeliwa kirahisi namna hiyo?!!! Hivi mnataka tuongee lugha gani ili muelewe kuwa mwanamke anayekuambia eti ana bikra, sijui ana malengo, sijui yeye mdogo na upuuzi mwingine huku ukimpa ela anapokea ni tapeli?!!! Kudadadeki zenu nyie endeleeni kijifanya mnajua kukea, watoto wa wachungaji... Mtachunwa vibaya, na mwisho wa siku mtabwagwa mnywe sumu...
Yaani hapo alipo anakucheka vibaya maana amekuokota kwa style za mwaka 47!!!
Bahati nzuri ni kuwa wakati nyie mkidanganywa kuwa ni bikra, sisi mabazazi tuliooa huku mtaani tunawala hao mademu zenu asubuhi na jioni. Endeleeni kusibiri...
 
Aisee we ni zobaa sijawah kuona?! Unahudumiaje dem wakati hata mzigo haujapiga?? Kwa jinsi ninavyowafahamu hawa viumbe wa kike lazima hapo kuna mtu anamega kisela, alafu wewe kazi yako ni kuhudumia tu.
 
Aisee we ni zobaa sijawah kuona?! Unahudumiaje dem wakati hata mzigo haujapiga?? Kwa jinsi ninavyowafahamu hawa viumbe wa kike lazima hapo kuna mtu anamega kisela, alafu wewe kazi yako ni kuhudumia tu.

sio uzoba bro ni moyo na malengo nilio kua nayo juu yake kaka.
 

nimekusoma kaka.
 
kama mapenz ndo yako hivi bora kuwa single kwanin uhangaikie mtu ambaye anakuumiza kichwa daily na bado haeleweki.Kwani mtu kuwa single ni ajab au unaonekana hujakamilika?
 
dah! yaani kijana umepoteza miaka 3 ya ujana wako bila kuchovya! ndio maana stress inakuzidi na kusababisha ubongo kutofikiri vyema ili kutatua hili jambo dogo. hebu kwanza tafuta binti wa kushughulika nae na utamsahau huyo wa mwanza anaekuzingua.

kutochovya muda mrefu kuna mfanya mtu kuwa na stress sana?
 

pokea like,haya mambo yapo ila sio kwa style hiyo ya kupeana ma stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…