Mwanaume ninae muona kijana either nimemzidi umri sana au ana akili za kitoto. Siwezi toka naeHahahahahaha......!! We Demi wewe.... unamshangaa kwa kutoka na kijana?
Wewe unatoka na wazee tuu? Mtata sana wewe...
AnashangazaAnatoka na kijana halafu anakuja kutulilia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kushauri sijui kama utafuatwaSasa hapo tukushauri nini bibie! Kila kitu kipo wazi, sema na nafsi yako! Ikiwa unaweza tabu kaa, ikiwa unaamini anaweza kubadilika mpe muda, ikiwa unaona miyeyusho endelea na maisha mengine km yeye sio wa kwanza hawez kuwa wa mwisho! Uraiani wapo raia kibao wanaoweza kukupa penzi stahiki!
Kusoma uzi wako ikanibidi nichungulie umejiunga lini na una umri gani!! Dada yangu una miaka 29 lakini naona ulichokiandika hapa alipaswa aandike wa miaka 20 hivi. Samahani km nitakuwa nimekukwaza!
Changanya zako na ya kuelezwa ukweli uwe mchungu kumeza, na uwe mtamu kutema.
Sitaki kuamini akili yako haijakupa jibu sahihi, ila wewe unataka kuuendekeza moyo wako!
Ngoja nimalizie chai yangu na kitumbua hapa kwa mama atupele( kula ujaze tumbo restaurant )
Ni ile ile lakini kama haikufai basi wewe ni mwingine.Hii ni Ile Jamii Forum iliyonipa ushawishi wa kujiunga au ni nyingine? [emoji15][emoji15][emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananihitaji pia najua lakini [emoji24]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kumbe!Ni ile ile lakini kama haikufai basi wewe ni mwingine.
Jamii forum haibadiliki ila members wanabadilika.