Nisaidieni wadau nipo njia panda

Mbona kama wote umewaelewa hivi, ujui umkubali yupi na yupi umpotezee.
Nenda na yule unaemwelewa zaidi, na nahisi ni huyo anayesema yeye ndo muhusika
 
Kama una mtoto wakubari wote mmoja atakuwa baba wa huyo mtoto wakufkia na mwingne atakuwa Mjomba wa huyo mtoto.

Kama huna mtoto wakatae wote afu atakae endelea kukutafuta hadi tarehe 20 mwezi 12 ndo wako.
 
Mbona kama wote umewaelewa hivi, ujui umkubali yupi na yupi umpotezee.
Nenda na yule unaemwelewa zaidi, na nahisi ni huyo anayesema yeye ndo muhusika
Hapana kwa maana nilimpenda josh kweli halafu nikamwomba namba hakutaka basi yule mwenzake alipoona nimeaibika akafunika akanipa namba mimi nikaanza nahusiano naye .
Basi maisha ndio hivyooo.
Baadae eti yeye akaja na makeke ni mimi ndo muhusika wa nini?
Mbona nilikuomba namba ukanikatalia katu.
Sasa mie nimueleweje?
 
Maisha maraisi tu kama table ya kumi.
Cheki kinachokupa furaha kwa urahisi na wewe unafurahi.
Isijejuwa josh mwenyewe ndo mimi
 
Nimefuatilia Uzi na majibu ya mtoa Uzi. Niwaambie tu kuwa mnabishana na mfanyabiashara wa kona bar.
 
Wadau,

Katika pita pita zangu. Nilikutana na wanaume wawili. Sasa kati ya hao mmoja alinipatia mawasiliano.

Mawasiliano yakaanza na sasa unamiezi miwili. Huu watatu nikapokea namba ngeni kuuliza niyule kaka mwingine.

Anamadai kuwa yeye ndio mlengwa na sio yule mwingine. Kwa hiyo yule aliyenipatia mawasiliano alichukua tu ili ampatie yeyr baadaye.

Nakumbuka hiyo siku nilimwomba namba yake alikaata na sasa anadai yeye ndio mlengwa na sio huyo aliyenipatia mawasiliano.

Sasa niko njia panda nisaidieni.
Hapo njia panda wataka kupasua nazi au yai?
 
Back
Top Bottom