Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Wadau,
Katika pita pita zangu. Nilikutana na wanaume wawili. Sasa kati ya hao mmoja alinipatia mawasiliano.
Mawasiliano yakaanza na sasa unamiezi miwili. Huu watatu nikapokea namba ngeni kuuliza niyule kaka mwingine.
Anamadai kuwa yeye ndio mlengwa na sio yule mwingine. Kwa hiyo yule aliyenipatia mawasiliano alichukua tu ili ampatie yeyr baadaye.
Nakumbuka hiyo siku nilimwomba namba yake alikaata na sasa anadai yeye ndio mlengwa na sio huyo aliyenipatia mawasiliano.
Sasa niko njia panda nisaidieni.