Nisaidieni Ushauri: Biashara ya SPANNERS Kariakoo

Nisaidieni Ushauri: Biashara ya SPANNERS Kariakoo

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
571
Reaction score
1,829
Wakuu, nina uzoefu na haya maspanners, fix, ring, sockets, power handles etc.

Nafikiria kufanya biashara ya kuuza haya maspanners aina zote jumla na reja reja pale Kariakoo.

Je, hii idea iko sahihi au itakuwa slow kwa kuwa nime-specialize sana kudeal na spanners tu?

Labda ni kuongezee nini ili hii business ishamili vizuri?

Je, kama ni sahihi ni mitaa gani ya kariakoo itafaa kuweka aina hii ya biashara?

Nitashukuru kwa maelekezo yenu.......
 
Back
Top Bottom