Kind
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 247
- 40
Kuna bint nilikua na uhusiano nae toka miaka mitatu iliyopita. Kama mpenz wangu nilimpa ninachoweza ikiwa ni pamoja na kumsaidia kupata chuo now yupo anamalizia chuo.
Mwaka jana mwishoni niliona anebadilika kuchunguza nikajua anamahusiano na mwanafunzi mmoja wa mwaka wa pili chuo flani. Nilimbana anipe ukweli akawa mkali. Nilimweleza dada yake wa karibu nae akamuuliza akawa anasema ni rafiki yake tuu. Niliweza kudaka mawasiliano yake na huyo mkaka nikamwonyesha dada yake.
Mwisho huyu dada aliomba tuachane kwa roho ya huzuni nikakubali. Nikakaa mwez wa tano sasa bila mawasiliano nae. Bint huyu ameanza kunipigia simu akiniongelesha mambo ya mapenz na kukumbusha tuliyokua tukifanya zamani. Sasa mi moyo wangu haujakubali kurudi kwake japo nipo bado sijampata mwingine.
Naombeni mnishauri nifanyeje.