Kind
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 247
- 40
- Thread starter
- #21
Usisahau kuwa wajinga ndio waliwao! huyu dada huenda kamchukulia jamaa kama asie na maamuzi yenye msimamo ndo maana baada ya kutumbuiza huko leo anataka arudi kumpumzikia tena mshkaji, hope iko siku akija mwingine jamaa ataachwa tena.
Ninaona hili kiukweli imenifanya nisimwamini mwanamke mwingine