Nisaidieni screen ya laptop yangu jamani wana jf

Nisaidieni screen ya laptop yangu jamani wana jf

asanje

Member
Joined
May 24, 2013
Posts
24
Reaction score
0
Nilikuwa natumia laptop yangu lakini ghafla sreen ikabadili langi na kuanza kun'gaa sana na kutetemeka,inatoa mwanga mkali sana,napata shida sana kuitumia kwa sababu inumiza sana macho.laptop yanyewe ni dell inspiron 5040.Msaada jamani.
 
nisaidieni laptop yangu nilikuwa naitumia ghafla screen yake ikabadili rangi na kung'aa sana maandishi yanaonekana kwa shida sana,inatoa mwanga mkali sana kwenye screen yake,nisaidieni tatizo ni nini,laptop yenyewe ni dell inspiron 5040
 
check button za kuongeza mwanga isijeikawa umeongeza bila kujua
 
Mkuu kwa haraka haraka hiyo kitu inaanza kwenda kwao na punde si punde inaweza isonyeshe kabisa, fanya test ifuatayo,chomeka hiyo laptop yako kwa external monitor kisha observe mwanga unasomekaje kama upo normal,tafuta fundi's akuangalizie data cable au kama uko vizuri tazamata data cable chini ya keyboard imechomekwa vizuri kama iko poa basi anza kujichanga kutafuta hiyo kitu mara ya mwisho nilipobadilisha hii kitu walikuwa wanauza kwa Laki na Themanini(180,000) kwa town.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom