nisaidieni nifanyeje kuhusu gf wangu!!!!!!!

mkuu ukicheza na dada mtu, au mdogo mtu. Wanaweza wakaharibu uhusiano kabisa, hasa pale unapokuta mdogo/dada anawivu, yani anakutaka, anaweza akakufanyia visa vingi ili ugombane na mwenzi wako.
CHAKUFANYA : fanya uchunguzi wa kina, sababu uko mbali naye. Tafakari njia sahihi utayotumia kujua ukweli.
 
mdogo wake anakutaka. Halafu ulipomtongoza mkapendana na kukubaliana kuwa pamoja mdogo mtu alikuwepo?mbona unamshirikisha? Hujui penzi ni watu wawili tu? Hujui kuna waharibifu wa mapenzi? Mbona haujiamini kwenye mahusiano yako una tatizo gani?
 
Alilia kw kua ndio kwanza alikua amerudi nyumbani na nusu umkamate ......
 
mdogo wake anakutaka. Halafu ulipomtongoza mkapendana na kukubaliana kuwa pamoja mdogo mtu alikuwepo?mbona unamshirikisha? Hujui penzi ni watu wawili tu? Hujui kuna waharibifu wa mapenzi? Mbona haujiamini kwenye mahusiano yako una tatizo gani?
nimekuelewa mkuu ila kama unavyojua tuko mbali na ukiona kuna mtu anataka kukujuza usiyoyajua kuhusu mwenzi wako halafu ni mdogo mtu nadhani utatamani kujua zaidi nami ndivyo nilivyokuwa,najiamini mkuu ila ni vyema kuchukua tahadhari
 
hapa duniani jiamini mwenyewe. Huyo unayesema anakujuza,si ajabu hapendi kuona mnapendana akataka kukubomolea. Na mapenzi yanajengwa kwa uaminifu kati yenu wawili kadri mlivyokubaliana. Usisahau shutuma zozote za mapenzi mpaka ushuhudie kwa macho yako ndo ufanye conclusion, kuna vidudu mtu vingi. Kua makini
 
Back
Top Bottom