Nisaidieni nateketea, napenda ngono kuliko chochote kile

kizibo1

JF-Expert Member
May 14, 2015
1,187
766
It's a serious problem, nina hamu ya ngono iliyopitiliza licha ya umri wangu kusonga kazi yangu ni udalali unaonilipa vizuri tu.

Shida yangu kubwa ni hiyo ya kupenda ngono kuliko kingine chochote yani naweza kusex na wanawake watatu kwa siku.

Sasa leo sipo ok nina kizunguzungu nyuma ya kichwa, na dull pains kwenye spinal code, nimeogopa sana ila nadhani ni kwavile kwa wiki iliyopita yote hakuna siku nimepumzika ngono tena wanawake tofauti.

Naombeni msaada na ushauri naangamia!

Nitavumulia matusi na kejeli ila najua wapo watakaonielewa

Nawakilisha on bended knees
 
It's a serious problem
Nina hamu ya ngono iliyopitiliza licha ya umri wangu kusonga
Kazi yangu ni udalali unaonilipa vizuri tu
Shida yangu kubwa ni hiyo ya kupenda ngono kuliko kingine chochote..yani naweza kusex na wanawake watatu kwa siku
Sasa leo sipo OK nina kizunguzungu nyuma ya kichwa, na dull pains kwenye spinal code, nimeogopa sana ila nadhani ni kwavile kwa wiki iliyopita yote hakuna siku nimepumzika ngono tena wanawake tofauti
Naombeni msaada na ushauri naangamia!
Nitavumulia matusi na kejeli ila najua wapo watakaonielewa
Nawakilisha on bended knees
Kuna member mmoja hapa alileta mrejesho kuhusiana na tatizo kama lako. Nanukuu alisema" amepokea shauri nyingi nzuri, kejeri na matusi, kuna vilivyo msaidia ndani yake, na pia aliweka wazwaz ya kuwa nafsi yake ndio ilio kubali kubadilika, fanya hivu mjuu weka nia amua, kuwa na msimamo, kubaki kuacha ngono zembe utashinda.
 
It's a serious problem
Nina hamu ya ngono iliyopitiliza licha ya umri wangu kusonga
Kazi yangu ni udalali unaonilipa vizuri tu
Shida yangu kubwa ni hiyo ya kupenda ngono kuliko kingine chochote..yani naweza kusex na wanawake watatu kwa siku
Sasa leo sipo OK nina kizunguzungu nyuma ya kichwa, na dull pains kwenye spinal code, nimeogopa sana ila nadhani ni kwavile kwa wiki iliyopita yote hakuna siku nimepumzika ngono tena wanawake tofauti
Naombeni msaada na ushauri naangamia!
Nitavumulia matusi na kejeli ila najua wapo watakaonielewa
Nawakilisha on bended knees
 
Acha kujihendekeza mkuu mpaka hapo ushajua ni tatizo sasa unashindwaje kuacha au ni hivyo vi pesa vinakuzuzua.
Ushauri wangu kapime kwanza HIV mengine yatafata.
It's a serious problem
Nina hamu ya ngono iliyopitiliza licha ya umri wangu kusonga
Kazi yangu ni udalali unaonilipa vizuri tu
Shida yangu kubwa ni hiyo ya kupenda ngono kuliko kingine chochote..yani naweza kusex na wanawake watatu kwa siku
Sasa leo sipo OK nina kizunguzungu nyuma ya kichwa, na dull pains kwenye spinal code, nimeogopa sana ila nadhani ni kwavile kwa wiki iliyopita yote hakuna siku nimepumzika ngono tena wanawake tofauti
Naombeni msaada na ushauri naangamia!
Nitavumulia matusi na kejeli ila najua wapo watakaonielewa
Nawakilisha on bended knees
 
Ndugu yangu wewe ni mtu mzuri tu na Mungu anakupenda, msukumo wa ngono unatokana na
adui shetani!!
Ili uweze kupona ni lazima umpate Bwn wa uzima Yesu, haijalishi wewe ni dini gani, kabila gani, una imani gani!!
Soma Bible 1Kor :6:9-10.
1Kor : 18-20.
Tafadhari nakuomba mtafute mtumishi wa Mungu aliye hai ili akuombee, hasa wa okanisa la kiroho!! Usione maombi kama maigizo, nyenyekea upone ndugu!!
 
Aiseee ukiamua utaweza, waweza kuanza na haya hapa japo sio lazima yakusaidie; badilisha namba ya simu na hakikisha hutoi wala kuchukua namba ya mtu kwa minajili ya kumtaka kingono, badilisha aina ya marafiki/kampani, jiweke busy na kila saa ukiwaza ngono waza na magonjwa pia, usijipe moyo kuwa hutapata bali jiaminishe kuwa ukifanya hivyo utapata kwahio uache....na baada ya kufanya hayo sasa ndio utafute Mtumishi akuombee au jiombee mwenyewe na kujikabidhi kwa MUNGU
 
Endelea tu sio mbaya sana wale mpk hamu ikuishe kuna wengine tunaoneka Wazaman kisa umeamua kutulia mtusi mengi utasikia hela shida Mar kibamia n.k we tuwakilishe wale sanaa mpka hamu ikatike ..
 
Kama uko serious na unataka kupunguza maana kuacha hiyo kitu kabisa ni ngumu labda uwe unataka kwenda kusomea Upadre hapo sawa :
1.Kama umeoa baki njia kuu ila kama hujaoa tafuta mpenzi mmoja tu ambaye ni mwaminifu.
2.Wacha kuangalia picha na video zinazo kusababishia kuamsha hisia za ngono.
3.Wacha kuangalia kina mama kwa namna ya kuwavua nguo kwa macho..Ukiona aliejaliwa mtukuze Mungu kwa uumbaji the we endelea na mambo yako.
4.Kuwa busy na mawazo ya kimaendeleo wacha kufanya mind yako idle maana hapo ndipo shetani huwepo pia.
5.Fanya mazoezi ya namna yeyote ile mwili uwe active..
 
Ni hiyo kazi yako ya udalali inakufanya uwe na nguvu ya ushawishi sasa tatizo nguvu hiyo umeihamishia kuleee.Jitambua au acha kazi ya udalali kupanga ni kuchagua amua moja.
 
nenda kanisani, au msikitini...utakaposikia "Wala taqrab zina"
na ukaelewa.. naiman utaacha
 
Back
Top Bottom