Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,779
- 13,702
Imepigwa kimavi Cha Sura ya mbuzi wanakuona kama beberu anavokenua akinyonya K.
Kama ni hivyo wangekuwa wanacheka Mkuu,ila wanakuwa na hofu kiasi hawasubutu kunitizama machoni.Imepigwa kimavi Cha Sura ya mbuzi wanakuona kama beberu anavokenua akinyonya K.
Ulifanya ivyo?na ilikuwaje?nilikua nagombea uongozi mahala Fulani, shemeji yangu akanipa Mafuta ya Simba, eti nikienda kwa kampeni nijipake usoni kidogo tu, nitakua naogopwa kama simba.
akanambia nikichanjia nitatisha zaidi na kuogopwa. Lakini pia mimi sitakua nikiogopa chochote mbele yangu...
Vipi wewe umechanjia nini au kupaka nini usoni au mwilini?
Pisi kaliMimi wananiita mkurugenzi,bosi,tajiri..na huwa kama kuna sehemu foleni napishwa nitangulie mimi..nikipanda daladala huwa sichukuliwi nauli..nishatoa mara kadhaa nauli konda akakataa huku akisema acha tu bosi..je mimi nani?
Picha Ina uhusiano gani hapo Mkuu?Tuwekee picha yako hapa ndo tujue uhalisia wa unachokiongelea
Naweza kusema ni watu wote,maana wengine ni watu wazima miaka 40+ lakini ninapojaribu kuwatizama machoni wanakuwa wanaogopa, sauti wanazotoa ni za uoga hawawezi kumanage kunitizama. Sasa hii inanifanya niamini kwamba naogopwa na wale wanaojaribu kunikaribia hawawezi kuniambia kingine zaidi ya salamu.Watu wa haina gani wanaokuogopa
Classic peoples ?
Average people??
Unamaanisha mdomo.wake upo kama wale wa wanaovuta sigara?1. Muonekano wako (mavazi, mwili au sura)
2. Kazi yako.
3. Mdomo wako.
Lakabu nimesoma isoma chuoni hiyo katika some la Fasihi.Naweza kusema ni watu wote,maana wengine ni watu wazima miaka 40+ lakini ninapojaribu kuwatizama machoni wanakuwa wanaogopa, sauti wanazotoa ni za uoga hawawezi kumanage kunitizama. Sasa hii inanifanya niamini kwamba naogopwa na wale wanaojaribu kunikaribia hawawezi kuniambia kingine zaidi ya salamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe pengine upo too organized and formal, watu huogopa ukiwa hivyo.Ingekua ivo basi nadhan ingekua rahisi wao kunichangamkia. Yaan hata Salam ndo nisipewe.
Najitahidi sana kwenye mavazi, usafi na muonekano kama Mwanaume, ila ni ngumu sana watu kujimix na mm casually
Upo dogo bei Elekezi.Punguza domo hilo, kwanza wewe una wivu sana, yani kitendo cha mimi kupewa bandari zote unachoonga. Ntakupaje kibarua sasa?
[emoji2][emoji2][emoji2] nimecheka kwa sauti aiseehUtakuwa umetupiwa sura ya simba
Unajiona MO kumbe waja wanakuona remmy ongala
Wewe ni kitonga man bin mpenda ganda la ndiziMimi wananiita mkurugenzi,bosi,tajiri..na huwa kama kuna sehemu foleni napishwa nitangulie mimi..nikipanda daladala huwa sichukuliwi nauli..nishatoa mara kadhaa nauli konda akakataa huku akisema acha tu bosi..je mimi nani?