mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu
nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
kwanini?
Bibie.@maimatha Kama wewe ni mkristo soma Zaburi 45 kila siku asubuhi anapoondoka mpenzi wako soma hiyo Zaburi 45. kama ni Muislam nitafute kwa wakati wako bonyeza hapa.Mawasilianompenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu
nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
Mkuu hujambo lakini Mnyamwezi wa Urambo
dada pole mganga sikitu kwenye mapenz
me niliachwa na m2 ambae sikutarajia nikiwa na mimba ya miez3 Mungu alinsaidia had leo mwanangu hamjui baba nami sina muda wa kuhangaika nae nammudu mwanangu kwa raha zangu.
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu
nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze
kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
dada pole mganga sikitu kwenye mapenz
me niliachwa na m2 ambae sikutarajia nikiwa na mimba ya miez3 Mungu alinsaidia had leo mwanangu hamjui baba nami sina muda wa kuhangaika nae nammudu mwanangu kwa raha zangu.
mpenzi wangu kanitaamkia rasmi kuwa hanipendi nimeumia sana ninaujauzito wake miez 7 na tulikua tunaishi pamoja anawiki sasa anarudi saa 6,7 leo nimemkalisha chini kanijibu
nilikua nakupenda sasa hivi sikupendi nikamwambia mimi nakupenda kanijibu ( siku hizi hakunaga kupenda) jaman nampenda sana pamoja na yote anayonifanyia naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo. NISAIDIENI NAJUA KUNA WATAKAO NISHANGAA LAKINI IMETOKEA TU NA SINA JINSI NAMPENDA SANA NACHOTAKA ARUDISHE MOYO KWANGU.
Mapenzi, uganga sidhani kama vinaendana, ushauri wako upo poa.mimba miezi 7 unataka kujihangaisha mwishowe utakosa bara na pwani tulia ujifungue salama kwanza
naombeni kama kuna mtu ana fahamiana na mganga yoyote anijulishe aniPM namba yake niweze kutatua matatizo.