kyemo
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 570
- 718
Gari yangu ya biashara imegongwa mwezi wa tano sasa na polisi hawataki kumpeleka mahakaman dereva aliyegonga gari yangu ili nikadai bima yake.
Za chini ya kapeti jamaa kapitisha mlungura chini.Hasara ninayoendela kupata toka gari imepata ajali ukiachilia mbali kushindwa kulipa kodi ya serikali ni zaidi ya million nane hadi leo.
Nisaidieni namba ya Mkuu wa Traffic Tanzania aweze kunisaidia hili swala.