Nisaidieni namba ya Kamanda wa Trafiki Tanzania

kyemo

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
570
718
Gari yangu ya biashara imegongwa mwezi wa tano sasa na polisi hawataki kumpeleka mahakaman dereva aliyegonga gari yangu ili nikadai bima yake.

Za chini ya kapeti jamaa kapitisha mlungura chini.Hasara ninayoendela kupata toka gari imepata ajali ukiachilia mbali kushindwa kulipa kodi ya serikali ni zaidi ya million nane hadi leo.

Nisaidieni namba ya Mkuu wa Traffic Tanzania aweze kunisaidia hili swala.
 
Sasa jamaa anaogopa nini kwenda mahakamani, maana mahakamani watamlipisha faini za barabarani na itamsaidia pia bima yake kukulipa wewe, labda hakua na bima
 
Mpeelezi wa kesi yako anakueleza sababu gani mpaka sasa kesi haijaenda mahakamani?Anzia kwanza kwa RTO wa mkoa uliopo
Hakuna cha maana anachoniambia,ijumaa nimempigia cm ananiambia kuna majeruh alikua anawatafuta hawapati lakini ukweli gari yetu haikua na majeruhi hata mmoja ila upande wa aliyetugonga ndio kulikua na majeruhi na aliyetugonga alishajaribu mara kadhaa kunishawishi tulipane nikamkatalia sababu gari imeumia sana hvyo sikutaka baadae ije iwe usumbufu.
Nadhan anataka kuchomekea watu wake km majeruh ili nao wakadai bima wapige pesa.
Pia mpelelezi alishajaribu tunyoshe mkono nikamkatilia nae coz hali ngum na mm sina kitu cha kumpa
Gari yenyewe inadaiwa marejesho kila mwezi.
 
Sasa Kama mtu amekuambia mzungumze akulipe wewe hutaki mazungumzo Kwasababu gari imeumia Sana huoni ni ujuha huo?kwani mkizungumza Ukiona pesa yake haitoshi si unaendelea na process za kesi kawaida.

Hakuna mtu anayependa mahakamani kwa Shauri lolote lile,unaweza kudhani ni faini ukashanga hakimu alilalia ubavu wa Kushoto akakupiga miezi 6

Binafsi Ilishanitokea 2008 nilikuwa na hiace ya Mwenge -Bagamoyo,ikagongwa hapo Goigi Ms mtoto wa mama rwakatare,bahati nzr nilikuwa Mwenge dereva aliponipigia cm nikaenda hapo Kawe police chap

Kufika jamaa hataki kesi tukasogea hapo pembeni kwenye mti nikampa hesabu zangu 1400000 aligonga ubavuni.
Jamaa akasema nipunguze iwe1200000 nikamwambia poa, kaenda bank chap kaleta mzigo,akamalizana na Askari tukaondoka na magari yetu.
Mchana huo huo nikapeleka kwa wachina Walikuwa hapo kwa Remmy Sinza wakanipiga 500000 nikawapa siku mbili gar iwe tayari.Baada ya siku mbili nikachukua gari,kwa hiyo nilikosa hesabu ya siku 3*40000 =120000 lakini kule nimebaki na chenji 700000.
Chukua somo hapo
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Najua ni mkuu wa traffic mkoa ila jinsi ya kumpata either mawasiliano yake
 
Hakuna cha maana anachoniambia,ijumaa nimempigia cm ananiambia kuna majeruh alikua anawatafuta hawapati lakini ukweli gari yetu haikua na majeruhi hata mmoja ila upande wa aliyetugonga ndio kulikua na majeruhi na aliyetugonga alishajaribu mara kadhaa kunishawishi tulipane nikamkatalia sababu gari imeumia sana hvyo sikutaka baadae ije iwe usumbufu.
Nadhan anataka kuchomekea watu wake km majeruh ili nao wakadai bima wapige pesa.
Pia mpelelezi alishajaribu tunyoshe mkono nikamkatilia nae coz hali ngum na mm sina kitu cha kumpa
Gari yenyewe inadaiwa marejesho kila mwezi.
Record simu zote na meseji kuanzia leo zitakusaidia mbeleni
 
Sasa Kama mtu amekuambia mzungumze akulipe wewe hutaki mazungumzo Kwasababu gari imeumia Sana huoni ni ujuha huo?kwani mkizungumza Ukiona pesa yake haitoshi si unaendelea na process za kesi kawaida.

Hakuna mtu anayependa mahakamani kwa Shauri lolote lile,unaweza kudhani ni faini ukashanga hakimu alilalia ubavu wa Kushoto akakupiga miezi 6

Binafsi Ilishanitokea 2008 nilikuwa na hiace ya Mwenge -Bagamoyo,ikagongwa hapo Goigi Ms mtoto wa mama rwakatare,bahati nzr nilikuwa Mwenge dereva aliponipigia cm nikaenda hapo Kawe police chap

Kufika jamaa hataki kesi tukasogea hapo pembeni kwenye mti nikampa hesabu zangu 1400000 aligonga ubavuni.
Jamaa akasema nipunguze iwe1200000 nikamwambia poa, kaenda bank chap kaleta mzigo,akamalizana na Askari tukaondoka na magari yetu.
Mchana huo huo nikapeleka kwa wachina Walikuwa hapo kwa Remmy Sinza wakanipiga 500000 nikawapa siku mbili gar iwe tayari.Baada ya siku mbili nikachukua gari,kwa hiyo nilikosa hesabu ya siku 3*40000 =120000 lakini kule nimebaki na chenji 700000.
Chukua somo hapo
Mkuu mm sio mjinga kukataa.Hiyo gari kutengeneza sio chini ya million 10.Yeye had leo gari aliyokua anaendesha ameshindwa kutengeneza.
Mnakubaliana kutengeneza inafika katkat amekwama kifedha nafanyaje apo?si mzigo unakua wangu huo.Maana hamuwez tena kuanza kurudisha kesi mahakamani.
Mtu wa kukutengenezea gari unamuona tu toka mwanzoni.
 
Back
Top Bottom