Nisaidieni nakaribia kuumbuka

WEKA PICHA TUKUSAIDIE KUCHAGUA
 
kwanza jivue uhusika alafu majibu utayapata mfano tuchukulie
ningekuwa mimi ni wwe
Na wewe ungekuwa mimi ungenipa ushauri gani?
 

wanaume wote wangekua kama wewe ingekua raha sana....
 
fanya hivi utamjua anayefaa kuwa mkeo; Kila mmoja kwa wakate wake, mzingue mpaka afike kiwango chake cha juu cha kukasirika na ujitahidi kuwa mvumilivu kupokea maneno machafu usiyoyategemea. hapo utajua undani wao kila mmoja alivyo then ufanye maamuzi kwa atakayevumilia.
 
Dah.nimeogopa kwa niaba yake.Yan nimehis lle unaifokea mm vile.!!dah huyu jamaa asipoomba radh baada ya kusoa hi atakua baharia ""KWERI KWERI""
 
AKILI KIJIKO,

Mkuu kama umewaelewa vizuri ndani ya miaka 2 waoe wrote kwa ndoa ya serikali asikudanganye mtu uwapige chini utakuja pata paka shume ukitoka nalo latoka kufanya matusi.
Ukiskia ngumu kumeza ndo hii kaaah nitawahudumia vipi mkuu na usawa huuu naskia hata hizo alkasusu mujarab zimeanza kupanda bei. Unataka nife mapema?
 
Weka picha zao, wengine tuna uwezo.wa kujua tabia ya mtu kupitia picha.

Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Kwakweli haina haja ya picha maana kwa maelezo niliyoyatoa yanatosha sana kujua kuwa ninatabia mbovu sana japo me najiona afadhali maana nilikuwa na hao wawili tu
 
Mbona wachache sana hao jombaaa...

Hembu acha kulaza damu, mpaka wakati wa kuoa unatakiwa uwe na kazi hata 8 tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…