Nisaidieni nafasi za kazi.,

SURN

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
319
36
Kuna dada angu anatafuta kazi yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile iwe kijijini au mjini.amepata DIPLOMA yake CHUO CHA USTAWI WA JAMII kilichopo LUNGEMBA(iringa.mafinga)na GPA yake ni nzuri inalidhisha.NAOMBENI MSAADA WENU!!!
 
Atume maombi kila atakaposikia kuna kazi huku akimwomba sana huyu mwokozi aliyezaliwa leo
 
Huyo dada yako ye hawez tafuta kazi mwenyewe hadi umtafutie?
 
Kuna dada angu anatafuta kazi yupo tayari kufanya kazi sehemu yeyote ile iwe kijijini au mjini.amepata DIPLOMA yake CHUO CHA USTAWI WA JAMII kilichopo LUNGEMBA(iringa.mafinga)na GPA yake ni nzuri inalidhisha.NAOMBENI MSAADA WENU!!!

GPA nzuri ni ipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom