Nisaidieni mawazo yenu tafadhali

Nisaidieni mawazo yenu tafadhali

siku za kupata mtoto ni 4 tu katika mwezi na mwanamke hapo anakuwa kwenye heat navyo jua. so hizo ndo nitacheza na nitadaka mpira tu......

so katika hizo siku nne inabidi kubahatisha moja .... mhhh hapo inataka moyo na uvumilivu mkubwa
 
ha ha ha umenichekesha ! jamani yani me natafuta mwanaume asiyependa kugegedana aiseee kupandiwapandiwa sipendi loh... uwii MUngu anisaidie nimpate huyo loh..

Hahahahaaaa,wajibu wa mume ni pamoja na kumfurahisha mkewe kunako 6*6.Omba Mungu akupatie mume anayejua kutimiza wajibu wake vizuri!Kugegeda kuna raha hasikwambie mtu.Nakwambia siku ukimpata utaimba nyimbo zote za Diamond,Lady Jd,Professor J,na wasanii wote na kumuita mwenzio majina yote unayoyajua tena kwa Kichagga!Chezea mtu anayejua kusimamia baiskeli yake vizuri wewe!
 
kunawatu hapa jamvini wanamezea mate jaamaa yako. Wawekee namba zake uone.
 
sikatai lakini isizidi banah too much is harmful yaani mtu anawaza mapenzi 24/7 kweli atakuwa na upendo wa dhati huyo?au ni mgonjwa labda,hapana kwa kweli kwa mi binafsi hiyo ni ngumu kumeza.
ila mimi navyojua hii ni one sided story....ukiona mtu anabana sana ujue hampendi huyo mtu....mtu kama mnapendana hata kwenye gari....ulishawahi kumpenda mtu au kupendana mapenzi yakatune in same rythim wewe...?
 
haya maneno mama tena ya binti anayejitambua,hongera mwaya shikilia huo huo msimamo usiyumbeyumbe.
Yaani he is my type,he has everything that I need in a man and iam ready to compromise ila sio in sex before marriage, hapo ntamwacha tu aende
 
piga chini huyo hana maana maswala ya kugegedana kila mwezi ujinga mtupu.......!! kwa sababu ni mpenzi at least baada ya miezi sita ndo ugegedwe loh!!!
Miezi sita..??? Is it realist..??? Kweli inabidi tuishi na nyie kwa akili... Maana..
1. Wengine kugegedwa kila siku mnaona shida
2. Wengine kugegedwa mara moja baada ya miezi sita mnaona shida maana mna genye mshindo.
3. Wengine madushelele ya haja mnaona shida
4. Wengine vibamia mnaona shida
 
ndio kila mkikutana? kwanini siku nyingine msiende cinema au dinner, mkaongea yenu mengine bila kugegedana. apige chini huyo mwanaume
..yah ikiwezekana hata kila siku...inategemea kama mnapendana na chemistry zenu zikoje
 
Hahahahaaaa,wajibu wa mume ni pamoja na kumfurahisha mkewe kunako 6*6.Omba Mungu akupatie mume anayejua kutimiza wajibu wake vizuri!Kugegeda kuna raha hasikwambie mtu.Nakwambia siku ukimpata utaimba nyimbo zote za Diamond,Lady Jd,Professor J,na wasanii wote na kumuita mwenzio majina yote unayoyajua tena kwa Kichagga!Chezea mtu anayejua kusimamia baiskeli yake vizuri wewe!
ha ha ha aya niisubirie hiyo siku,..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom