Nisaidieni mawazo yenu tafadhali

Nisaidieni mawazo yenu tafadhali

Miss chaga.......Ina onekana kuna vitu vingi ambavyo hujui about sex.But anyway mleta mada hana mapenzi ya dhati na huyo mwenzie but naomba kujibiwa maswali haya please:-
1.huyo mwanaume anaishi vip?..yaani amepanga/amejenga au anaishi na wazazi?
2.ume wahi kudiscuss nae juu ya hilo swala?
 
inategemea na mazingira....najua watakuja watu watakudanganya...lakini siku hizi mambo yalivyo kukaa na mtu msinanihino mtakuwa mnadanganyana...sema mnanihino kwa utaratibu unaoleweka....bila kucheat...na mapenzi yawepo pia....mimi msichana akijidai hataki kunanihini wala siangalii nyuma namuacha kwa sababu atakuwa muongo(ulokole feki)
ndio kila mkikutana? kwanini siku nyingine msiende cinema au dinner, mkaongea yenu mengine bila kugegedana. apige chini huyo mwanaume
 
Am serious miezi sita kwa nini unigegede kama umenioa me ukianza maswala ya kugegedana mara kwa mara nakuacha ata kama unanipenda

R u a teenager? Maana huu muda kuna wanakuaga na ndoto ambazo hazitimiziki, come to reality bana mi nikikaa sana mwez baada ya hapo labda awe mbal
 
Mnapokubaiana kuonana anakuelekeza guest ina maana ni mtoto wa mama ( hajajitegemea) au labda anaishi na mwenzako?
Je na wewe unaishi kwenu? Lakin naamin hilo si tatizo linarekebishika na wewe ndo liko ndani ya uwezo wako.
 
kugegedana mara zote hizo hiyo michubuko si itakuwa kidonda permanent mmmh me hapana, kama nimeolewa mara moja kwa mwezi sawa....

Mara moja kwa mwez khaaaaa ! Hazo hao watoto watapatikanaje?
 
Miss chaga.......Ina onekana kuna vitu vingi ambavyo hujui about sex.But anyway mleta mada hana mapenzi ya dhati na huyo mwenzie but naomba kujibiwa maswali haya please:-

1.huyo mwanaume anaishi vip?..ya
ani amepanga/amejenga au anaishi na wazazi?
2.ume wahi kudiscuss nae juu ya hilo swala?
Anaishi.kwake,sijawahi kudiscuss naye ila nina. Mpango huo
 
Mnapokubaiana kuonana anakuelekeza guest ina maana ni mtoto wa mama ( hajajitegemea) au labda anaishi na mwenzako?
Je na wewe unaishi kwenu? Lakin naamin hilo si tatizo linarekebishika na wewe ndo liko ndani ya uwezo wako.
Mi naishi kwetu ila ye anakaa kwake, itabidi niongee naye tu, nione response yake
 
kugegedana mara zote hizo hiyo michubuko si itakuwa kidonda permanent mmmh me hapana, kama nimeolewa mara moja kwa mwezi sawa....
miss chagga,michubuko itatoka wapi?Labda mwanaume hasiyejua kazi yake!Kuna kuandaliwa bibie,sio kubakana!Ukimpata mwanaume anayejua kazi yake vizuri nakwambia miss chagga utakuwa unatoroka na kazini ili mgegedane!
 
Last edited by a moderator:
Mara moja kwa mwez khaaaaa ! Hazo hao watoto watapatikanaje?

siku za kupata mtoto ni 4 tu katika mwezi na mwanamke hapo anakuwa kwenye heat navyo jua. so hizo ndo nitacheza na nitadaka mpira tu......
 
miss chagga,michubuko itatoka wapi?Labda mwanaume hasiyejua kazi yake!Kuna kuandaliwa bibie,sio kubakana!Ukimpata mwanaume anayejua kazi yake vizuri nakwambia miss chagga utakuwa unatoroka na kazini ili mgegedane!
ha ha ha umenichekesha ! jamani yani me natafuta mwanaume asiyependa kugegedana aiseee kupandiwapandiwa sipendi loh... uwii MUngu anisaidie nimpate huyo loh..
 
Mwenzenu nimeingia kwenye mahusiano na moyo umependa jumla, ila huyu mpenz anawaza ngono 24*7.
Hapa nina mpango wa kujiweka pembeni kabisa sababu naona yamenishinda ,
Hivi wanaume siku hizi mkiona warembo mnawaza tu kuwavua nguo!!!!!!
natamani kurudi enzi za mababu zetu ambapo mapenz yalikuwa na maana.
He!!!!!eti bby leo tunaonana!!!ukisema tu ndio unaelekezwa guest house,kama mapenzi ndio hayo bora tu nikimbie

kuna wenzako wanalilia kupata rijari kama huyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom