afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 136
Mwenzenu nimeingia kwenye mahusiano na moyo umependa jumla, ila huyu mpenz anawaza ngono 24*7.
Hapa nina mpango wa kujiweka pembeni kabisa sababu naona yamenishinda ,
Hivi wanaume siku hizi mkiona warembo mnawaza tu kuwavua nguo!!!!!!
natamani kurudi enzi za mababu zetu ambapo mapenz yalikuwa na maana.
He!!!!!eti bby leo tunaonana!!!ukisema tu ndio unaelekezwa guest house,kama mapenzi ndio hayo bora tu nikimbie