Nisaidieni maoni kwenye hii mirathi

Mundu Yungi

New Member
Sep 24, 2019
1
0
Nilifungua Marathi ya baba yangu mahakama ya mwanzo na nikakubaliwa kwa msimamizi wa mirathi husika. Baada ya kuanza kukusanya mali na madeni ya marehemu nikagundua mjane wa marehem (marehem alikuwa na wake Wengi) ameuza shamba la marehemu nikapeleka malalamiko mahakaman akaitwa na akasomewa na akakubali kuuza Shamba hilo, siku ya hukumu mahakama ilimuondoa kwenye mgao(alichouza ndo amejigawia). Baadae nikapeleka orodha ya mali na mgao wake.

Mjane husika amekata rufaa mahakama ya wilaya na hoja Zake ni
1.marehemu alikuwa mkristo na walifunga ndoa na waliishi maisha hoyo mpaka mauti ilipomkuta. Kaambatanisha shahada feki ya ndoa

2. Nimemgawia mali kidogo za marehem

3 Nimefunga mirathi kabla mahakama haijanionesha namna ya kugawa mali
 
Kipindi wana hangaika na mume wake kutafuta hizo mali ndugu wote mlijitenga nao. Vijana tujifunze kutafuta mali bila kutegemea urithi, baba akifa mali zibaki kwa mama ambaye ndiye wametafuta nae isipokuwa tu labda huyo mama aombe msaada wa usimamizi kwa mtu anaye muamini.
Muachieni huyo mama mali za mume wake, kasimamie mali zako ulizo tafuta na mke wako.
Umaskini wa akili ni mbaya kuliko umaskini wa mali.
 
Back
Top Bottom