Naomba nisaidieni maana ya maneno haya 1) amedata 2) kudadeki. Kwangu ni mageni kabisa na nimeyaona yakitumika sana humu JF. Natanguliza shukrani
amedata au kudata ni kitendo cha kuchanganyikiwa. chanzo ni kuwa ubongo wa una data kibao kwenye mpangilio fulani. ukichanganyikiwa huwa mpangilio unapotea, wanasema umedata.
kudadeki imetokana na kivumisha cha sifa ama something like that. ila inakuwa unasifia kitu. imetokana na matusi kama "jamaa mshenzi yule" sio mshenzi ya tusi ila ya kumsifu. au demu mzuri kweli 'kum.... maye"
sasa hiyo Kum... maye watu wakaona noma wakasema kudadeki!
mawazo yangu binafsi.