Nisaidieni maana ya maneno haya

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,144
1,648
Naomba nisaidieni maana ya maneno haya 1) amedata 2) kudadeki. Kwangu ni mageni kabisa na nimeyaona yakitumika sana humu JF. Natanguliza shukrani
 
amedata au kudata ni kitendo cha kuchanganyikiwa. chanzo ni kuwa ubongo wa una data kibao kwenye mpangilio fulani. ukichanganyikiwa huwa mpangilio unapotea, wanasema umedata.

kudadeki imetokana na kivumisha cha sifa ama something like that. ila inakuwa unasifia kitu. imetokana na matusi kama "jamaa mshenzi yule" sio mshenzi ya tusi ila ya kumsifu. au demu mzuri kweli 'kum.... maye"
sasa hiyo Kum... maye watu wakaona noma wakasema kudadeki!

mawazo yangu binafsi.
 
Thanks Outlier. Kiswahili kinakuwa kwa kasi sana. Kuna wakati inafika mahala mtu unasoma na upati kabisa picha ya kinachosemwa.
 
Back
Top Bottom