N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jan 4, 2017 #2 Uliota umepangiwa kazi gani huko kijijini?
isotaaaa JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,944 823 Jan 4, 2017 #3 CHIKIRA MTABARI said: Uliota umepangiwa kazi gani huko kijijini? Click to expand... hujaelewa.mkuu ?kapangiwa kazi kama ndoto yake inavyo sema mkuu
CHIKIRA MTABARI said: Uliota umepangiwa kazi gani huko kijijini? Click to expand... hujaelewa.mkuu ?kapangiwa kazi kama ndoto yake inavyo sema mkuu
_aysher JF-Expert Member Aug 2, 2016 1,131 942 Jan 4, 2017 #4 Utakua mchungaji unatakiwa uende vijijini ukawaombee
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,971 35,113 Jan 4, 2017 #5 muafi said: wakuu Nimeota mweshmiwa raisi ametoa ajira nikapangiwa eneo langu la kazi kuwa huko kijijini Click to expand... Hiyo hapo kwenye bold ndio ninamuuliza! isotaaaa said: hujaelewa.mkuu ?kapangiwa kazi kama ndoto yake inavyo sema mkuu Click to expand...
muafi said: wakuu Nimeota mweshmiwa raisi ametoa ajira nikapangiwa eneo langu la kazi kuwa huko kijijini Click to expand... Hiyo hapo kwenye bold ndio ninamuuliza! isotaaaa said: hujaelewa.mkuu ?kapangiwa kazi kama ndoto yake inavyo sema mkuu Click to expand...
Punainen JF-Expert Member Jul 19, 2013 1,304 1,056 Jan 4, 2017 #6 Kwani inaruhusiwa kumhusisha huyo jamaa kwenye ndoto?!
famicho JF-Expert Member Jul 29, 2015 2,192 2,823 Jan 4, 2017 #7 Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake
APEFACE JF-Expert Member Oct 1, 2016 5,048 8,628 Jan 4, 2017 #8 famicho said: Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake[/QU ajamuona mwenzake Lema mwache ajichanganye aone ..... Click to expand...
famicho said: Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake[/QU ajamuona mwenzake Lema mwache ajichanganye aone ..... Click to expand...
Ramea JF-Expert Member Mar 19, 2015 2,146 4,054 Jan 4, 2017 #9 Uliota ajira zimetolewa na nani? Mana ndoto za watz wengi wanaota wakiwa na Rais wa awamu ya nne Mh. Ki....huyu wa sasa mmmh!!
Uliota ajira zimetolewa na nani? Mana ndoto za watz wengi wanaota wakiwa na Rais wa awamu ya nne Mh. Ki....huyu wa sasa mmmh!!
kirengased JF-Expert Member Jan 10, 2016 6,005 6,664 Jan 4, 2017 #10 Inaashiria unanyota ya uchawi... Pia usilale umeshika mapust inaleta ndoto mbaya. Jifunze neno la uzima kwa bidii
Inaashiria unanyota ya uchawi... Pia usilale umeshika mapust inaleta ndoto mbaya. Jifunze neno la uzima kwa bidii
joseph mzuma Member Dec 31, 2015 58 48 Jan 4, 2017 #11 Jitahd kuwa karibu sana na watu wa mungu inaonekana kuna mzimu wa uchawi unakunyemelea mungu amekuonyesha njia mapema jinsi ya kuukabili
Jitahd kuwa karibu sana na watu wa mungu inaonekana kuna mzimu wa uchawi unakunyemelea mungu amekuonyesha njia mapema jinsi ya kuukabili
isotaaaa JF-Expert Member Sep 16, 2016 1,944 823 Jan 4, 2017 #12 famicho said: Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake Click to expand... huko simo mkuu
famicho said: Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake Click to expand... huko simo mkuu