Msaada: Natafuta App ya kutafsiri lugha ya Kiswahili/Kiingereza/Kiswahili

Google translate
Kwa hiyo ni 'google' tu kumbe! Maana pana kundi moja nilitupia 'clip' ya Kiinglishi basi mara moja jamaa mmoja ajaitupia kwa Kiswahlli.
Tokea siku hiyo sijamuona tena kwenye kundi licha ya kutupia 'clips' nyingi tu za Kiinglishi.
 
App inaitwa google translate .Kijana Smart phone umeanza kutumia lini mbona hivi n vitu basic sana
 
App inaitwa google translate .Kijana Smart phone umeanza kutumia lini mbona hivi n vitu basic sana
Sio wote waliomo JF ni vijana. Mie kwa faida yako nimepita miongo sita hivi sasa. Na tambua kuwa elimu haina mwisho.
 
Ninachoichukia Google Translate ni kwamba ukisha pata text inabidi uchukue muda mrefu tena ku -edit ili sentensi ilete maana.

Google waliwapa Wakenya tender ya kuingiza Kiswahili na wakaingiza Kiswahili chao kibovu
Hakuna namna inabidi tu utumie angalau utaokota okota kitu
 
Back
Top Bottom