Nisaidieni kutafsiri ndoto hii

Ndugu hiyo ndoto yako isimuhusishe mkulu, utawekwa rumande hadi mwsho wa uongozi wake
 
Uliota ajira zimetolewa na nani? Mana ndoto za watz wengi wanaota wakiwa na Rais wa awamu ya nne Mh. Ki....huyu wa sasa mmmh!!
 
Inaashiria unanyota ya uchawi... Pia usilale umeshika mapust inaleta ndoto mbaya. Jifunze neno la uzima kwa bidii
 
Jitahd kuwa karibu sana na watu wa mungu inaonekana kuna mzimu wa uchawi unakunyemelea mungu amekuonyesha njia mapema jinsi ya kuukabili
 
Back
Top Bottom