Nisaidieni kukuna kichwa

Mmmmmmmhhhh !!!!!!!!!!!!!
????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 
Naomba kuuliza hiyo nayo unaweza kusema kuchapiwa ni siri ya ndani?
 
Eti nini? Kakubaka kisa mumeo kasema uvumilie?nani kasema kuna udugu wa kushare tunda la mti wa kati?
 
Chezea ugwadu wa jela wewe!halafu una mkalia ki hasara hasara shemeji kwa nini asikurenge!mumeo nae alivyo boya eti...
 
Duuu sijawah sikia huyo mume wako ana roho ngumu hadi shetan anaogopa.....?????????umvumilie katoka jela kwa hyo we ndo jamvi la wagen au..................
 
Duu hivi ulivyo andika mwaka 2014 utafikiri si mwaka huu.
HIVI ILIKUWA MWEZI WA NGAPI?
Hii story yako ina utata sana.

Samahani lakini.
 
Sumtyms I wonder tunaelekea wapi maana hizi threads za uwongo na kweli zinatuboa jamani!
 
Utakapobakwa kweli utajua pakwemda wala hutokujakuomba ushauri huku.
Na uache fiksi
 

hii utakuwa umeangalia movie, au umependa tendo la kubakwa usingekimbilia hapa!!
 
Mhhhhhhhhhhhhhhh!Siku hizi humu watu waongo waongo tu!
 
Dah kweli lakini baada ya jamaa kuzama mbona ulikata kiuno na kushughulika vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…