MkuuXyz Senior Member Joined Jun 18, 2025 Posts 161 Reaction score 269 Jul 29, 2025 #1 Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA/WAGANDA au WARUNDI/WANYARWANDA, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ?
Aaliyyah JF-Expert Member Joined Mar 20, 2022 Posts 20,001 Reaction score 48,527 Jul 29, 2025 #2 Shimba ya Buyenze unaitwa😀😀
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,313 Reaction score 105,077 Jul 29, 2025 #3 Wasukuma ni wasukuma
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,830 Reaction score 4,330 Jul 29, 2025 #4 MkuuXyz said: Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA au WARUNDI, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ? Click to expand... Wanyarwanda
MkuuXyz said: Nisaidieni jamani, Hivi WASUKUMA ni WAKENYA au WARUNDI, am always confused here, Najua jibu ni kati ya hayo mawili, lakini ni lipiii ? Click to expand... Wanyarwanda
MkuuXyz Senior Member Joined Jun 18, 2025 Posts 161 Reaction score 269 Jul 29, 2025 Thread starter #5 Ausar said: Wanyarwanda Click to expand... Warundi/wanyarwanda ni hao hao. Ahsante Mkuu
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,830 Reaction score 4,330 Jul 29, 2025 #6 MkuuXyz said: Warundi/wanyarwanda ni hao hao. Ahsante Mkuu Click to expand... Wabongo tuna aina ya warundi wetu na wanyarwanda wetu
MkuuXyz said: Warundi/wanyarwanda ni hao hao. Ahsante Mkuu Click to expand... Wabongo tuna aina ya warundi wetu na wanyarwanda wetu
MkuuXyz Senior Member Joined Jun 18, 2025 Posts 161 Reaction score 269 Jul 29, 2025 Thread starter #7 Mbaga Jr said: Wasukuma ni wasukuma Click to expand... Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo.
Mbaga Jr said: Wasukuma ni wasukuma Click to expand... Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo.
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,830 Reaction score 4,330 Jul 29, 2025 #8 MkuuXyz said: Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo. Click to expand... Hehe hao jamaa ni mixer moja hatari ,watu wa sehemu tofauti wakakutana wakajiita hilo jina...ndo maana ndani yake kuna hadi wa asili ya nchi jirani
MkuuXyz said: Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo. Click to expand... Hehe hao jamaa ni mixer moja hatari ,watu wa sehemu tofauti wakakutana wakajiita hilo jina...ndo maana ndani yake kuna hadi wa asili ya nchi jirani
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,313 Reaction score 105,077 Jul 29, 2025 #9 MkuuXyz said: Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo. Click to expand... Huku nilipo ni mchana
MkuuXyz said: Kwa kuwa ni usiku saa hizi, nakusamehe, maana inawezekana umejibu ukiwa ndotoni kidogo. Click to expand... Huku nilipo ni mchana
MkuuXyz Senior Member Joined Jun 18, 2025 Posts 161 Reaction score 269 Jul 29, 2025 Thread starter #10 Mbaga Jr said: Huku nilipo ni mchana Click to expand... Ok... Day dreams are real though !
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,313 Reaction score 105,077 Jul 29, 2025 #11 MkuuXyz said: Ok... Day dreams are real though ! Click to expand... Fanya ulichotaka kufanya mwanzo, mm sitaki kusamehewa
MkuuXyz said: Ok... Day dreams are real though ! Click to expand... Fanya ulichotaka kufanya mwanzo, mm sitaki kusamehewa
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 2,584 Reaction score 8,158 Jul 30, 2025 #12 Ni watanzania