Jmn mi kwenye idara hii mgeni ila nataka mnisaidie kuhusu tanesco.kwetu kuna mstim mrefu sana.wiki moja na nusu hiv zilizopita mvua ilikua inanyesha mara umeme ukakati na ilikua usiku sana.asubuhi tukagundua kua umeme ulikua umekwisha tulivyoangalia tukakuta wiya ambao tanesco waliusifia sana kama miezi miwili iliyopita haupo.umeibiwa.tumeripoti tanesco lakini.jibu nitutakuja nina wiki sina umeme na wamesema lazima nilipie jmn kweli wire watangu mwaka72 umeibiwa leo tena kule juu wenyeujuzi ni tanesco.nisaidieni niende jmn