Baki njia kuu kwa usalama wako zaidi, wanasema - kawia ufike
Inatakiwa uwe na NJIA KUU na MCHEPUKO si ndivyo wadau wa Mapenzi, Mapenzi University(MMU)
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.
shwari mkuu?... mkuu nina ombi aisee, unaonaje ukibadili avatar? sorry lakini!Cc: Madabida
Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.
unatakuwa kubaki njia kuu kwani wewe lori?
Kumuulize kiongozi wa imani yako utapata jibu zuri.Kati ya njia kuu na michepuku ipi inaokoa muda? Kuna mtu alinishauri niachane na njia kuu kwan hupoteza muda. Point yake ni kwamba njia kuu kuna foleni sana wakati michepuko unatafuta tu upenyo na kuongeza spidi zaid. Pia anasema njia kuu kuna vikwazo na masharti weeeee!! Kwangu mimi alinishawishi sana ila nikashindwa kwenda michepuko au kwenda njia kuu, nimebaki njia ya kati nimekoswa appropriate side. Msaada wenu watalaam wa kupambanua mambo.
Ibia kote kaa njia kati!
Kweli hali ya hewa imechafuka.