Nisaidieni kuamua hii kesi

Nisaidieni kuamua hii kesi

UPDATES: Wadau kumbe bhana hawa rafiki zangu kilichowagombanisha ni suala LA ubikira. Ila wadada!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo bikra akiamua kuitoa anaweza kuwa kama mwenzake, lakini asie nayo hawezi tena kuwa bikra. 😂😂

Mkuu hebu nipe namba za mgonjwa nami nimpelekee matunda. Huweji jua naweza kupata zali la kuoa bikra maana naona JF siku hizi kila siku ni nyuzi za bikra tu na tunaaswa vijana tuoe bikra hawa wengine tuachane nao. Usininyime fursa mkuu wangu.
 
😂😂 mkuu taratibu utaanguka uko speed sana
 
Kwahiyo bikra akiamua kuitoa anaweza kuwa kama mwenzake, lakini asie nayo hawezi tena kuwa bikra. [emoji23][emoji23]

Mkuu hebu nipe namba za mgonjwa nami nimpelekee matunda. Huweji jua naweza kupata zali la kuoa bikra maana naona JF siku hizi kila siku ni nyuzi za bikra tu na tunaaswa vijana tuoe bikra hawa wengine tuachane nao. Usininyime fursa mkuu wangu.
Mkuu tangu niambiwe kuwa ni bikra, nimeanza mchakato wa kumtambulisha nyumbani. Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom