Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

hmasunga

Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
83
Reaction score
10
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea
 
Acha kuleta mada za kitoto hapa ndani. Kama huna cha kuandika nyamaza kimya. Tulia kabisa. Soma michango ya wenzako. Usitupotezee muda wetu.

nakuja ni habari ndefu sana. inafuraisha na ina sikitisha nani funzo pia hata kwa wengine.
 
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea

THREAD ZA NAMNA HII HUWA ZINANISABABISHIA KICHEFUCHEFU!!!!HUU NI UJINGA ULIOCHANGANYIKANA NA UPUMBAVU ETI KUTUAMBIA ITAENDELEA.......HII IMEKUWA FILAMU AMA?MKUU JIPANGE KWANZA KABLA YA KULETA THREAD HUMU JF.ACHA KUKURUPUKA KAMA NCHEMBA!!:yo:
 
Dah!kwa kweli,kuelekea 2015,tutaskia na kujionea mengi sana.
 
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea

JF si kwa ajiili ya maigizo! tafuta sehemu nyingine.
 
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea

ulichora zombi mwaka jana ww!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom